Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,132
- 11,387
Ukitumia bila mpangilio unaweza kusabisha usugu ,, hawa bacteria niwakutibu kwa makini sana lakini hizo ni dozi za awali na unaweza kutumia hiyo pylory kit usipone pia, nakushauri chukua za siku 14. Kisha upime tena kama bado rudia kwa ushauri wa Dactaringoja nijaribu pylorikit hizo amoxillin metranidazole na omaprazole nishatumia ni kama zinatuliza tu ila huponi moja kwa moja