Recent content by MNAMBOWA

  1. MNAMBOWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Business as usual
  2. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

    Waza unavyofikiri na wewe , Gwajima anaulewa Mpana zaidi ya unavyowaza
  3. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

    Chama hakina akili bado kinatumia mbinu zilezile , hakiangalii Wakati, Mahitaji na Malengo
  4. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Wanapima kina cha Maji ,pasipo kijuwa Nguvu ya Bahari, i think wanaenda kupotea kbs
  5. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ungejuwa Mama ni fundi usingeongea hivyo , Jambo la kumfurahisha kila MTU ndio niya ya Kiongozi Bora , matendo yako tuu yatakayo Fanya usifurahie kila Jambo, kama huendani na matakwa na Sheria za Nchi
  6. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

    Waliwao ndio wajinga
  7. MNAMBOWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Ishu inakuja wamekaa na vilabu kukubaliana huo mkataba?
  8. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Rais Samia waachie Masheikh waliopo Gerezani bila ya hukumu

    Mama Makini ameruka hicho kiunzi, mishkaki Ina jiko lake cyo Sufuria Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
  9. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

    Tukisema hz kitu wanatupa Uvunguni tuu hawatumii mnaleta Ubishi Haya Sasa mmeyaona wenyewe
  10. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
  11. MNAMBOWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Michezo?

    Humphey Polepole, anajuwa Sheria, Amedil Sana na Media , wasanii. Mambo ya Jukwaa , connection na Serikali na n.k
  12. MNAMBOWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bashungwa hutoshi!

    BASHUNGWA MUST GO,
  13. MNAMBOWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa habari, utamaduni na michezo ajiuzulu kwa adha iliyotokea kusogezwa mbele muda mchezo wa yanga na simba

    Heshima ya Serikali ya awamu ya sita bila waziri wa Michezo kukaa Pembeni hatutaelewa
  14. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Mama ndio mjuaji sasa , anaupiga mwingi, anajuwa kushinda ndani nje,anajua ligi ma mtoano, kiwanja cha ndani na nje , mtakubali tuu
  15. MNAMBOWA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingilia mhimili wa Bunge kwa hiyo ameanza kuisigina katiba waziwazi

    Huoni.kwamba wao ndio wameeanza kumuingilia?
Back
Top Bottom