Waziri wa habari, utamaduni na michezo ajiuzulu kwa adha iliyotokea kusogezwa mbele muda mchezo wa yanga na simba

Hii ndio shida ya Kuweka Mawaziri wasio na ufahamu/uzoefu wa Taasisi wanazozisimamia. Mfano mtu ni daktari wa mifugo alafu anateuliwa kuwa waziri wa ICT. Rubbish
 
Hili jamaa ata ongea yake inaonyesha weledi hana, sijui kaupataje ata huo uwaziri ..
 
Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani hajui chochote kuhusu michezo, hajui kanuni za michezo.
Hivyo kusababisha adha hii.
Na pia abadili uraia wake.
 
Hivi na nyie huwa mnaresign mkikosea au mambo yakienda msivyotarajia?
Kila mtu aheshimu sehemu mwenzie anapolisha familia yake.
 
Uwajibikaji hii nchi kitu kigumu sana. Huyo waziri asingepaswa kuendelea kushikilia huo wadhfa mpaka sasa.
 
Nategemea mashabiki wote tuungane kukemea uhuni huu bila kuangalia timu zetu.
Nawapongeza mashabiki wa timu zote 2 kukemea huu upumbavu na uhuni wa Bashungwa. Hatuwezi kuruhusu mtu mmoja mpuuzi asababishe hasara na aibu kwa nchi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom