Na mimi nakuja,kwetu nassa ginery,mwezi wa sita nilikuwa nyumbani wananchi wameamka,wanaijua CHADEMA na baadhi ya sehemu wanao uongozi wa chama,kwa kifupi busega inahitaji fikra mpya,maisha magumu na ajira hakuna,vijana wa umri wangu sasa ni wazee,wasomi wa busega mpo?,twendeni nyumbani,BUSEGA...