Jimbo la Busega sasa CCM Kwaheri

Jimbo la Busega sasa CCM Kwaheri

Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,
 
Chadema ichukue jimbo la busega? Chadema ipi hii ya wachaga wapenda majungu wauaji wa chacha zakayo na legia mtema wasiopenda kuona mwanasiasa anapendwa ndani ya chadeama kama siyo mchaga walioshindwa kufanya uchaguzi wa ndani wa chama, ambao wabunge wa viti maalumu ni watoto wa viongozi wa chadema, mahawara zao binamu zao au chadema nyingine itakayo toka mbinguni? Mtasubiri sana mtasema sana lakini subiri 2015 mtapata kilicho mpata Raila kenya mnachonga sana ila naamini mtanyamaza tu muda siyo mlefu,

Pole weye na mawazo mgando yako....
 
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,

Pole naona umeguswa sana .... Unajiteteaaaaaa kama vile unataka kukata roho, 2015 huna chako jipange ufanye kitu kingine
 
Sweetwangu sio kweli kwamba sina changu 2015 chadema haipo kabisa busega sasa nani ataninyang'anya changu busega sema kwamba nyinyi ni waongo wanafiki wapenda majungu kila kinacho fanywa na mbunge kwenu ni laana hamuwezi kukubari kwamba kafanya na nyinyi mnaojiita wafuasi wa chadema kila kitu ni kupinga tu hata leo mbewe akikwambia wewe umezariwa nje ya ndoa ya baba yako utakubari maake mnatumika vibaya bila kujitambua ila kuna siku yenu kama ya zimbabwe wewe endelea kulala tu ukiamini mbowe atakuletea mboga nyumbani kwako!
 
Wewe ni mbunge!!!!? Basi wananchi wako watakuwa wampata mwakilishi wa ajabu sana tokea nchi hii ipate uhuru
 
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,

Teh teh teh jamani Graet Thinkers tusaidiane eti huyu nae ni mbunge!!!!!! Duuuuuuh kazi kwelikweli. Kajipange basi hata kidogo. Kuwa hata na staha ya kuandika kiheshimiwa zaidi
 
Busega jimbo ambalo lilikwa wilaya ya Magu sasa ni wilaya kamili, DC Paul Mzindakaya, kijana wa CCM ambaye baba yake amekula nchi akashiba sasa ni zamu za watoto wa wakubwa kuanza kujengewa misingi ya kututawala milele. Jimbo la Busega kutoka kwa Chegeni hadi kwa binamu yake Kamani, sasa halitakuwa chini ya CCM tena. Sababu ni nyingi lakini moja ni kushindwa kufanya au kushawishi maendeleo kwa wanandugu hao wawili yaani Chegeni na Kamani. Nyingine ni ugomvi wote ambapo vile wanafahamiana sana na kujua sana wametiana madoa makubwa, tatu ni ukweli kwamba vijana wa nassa waliamka siku nyingi wakawapa wenyeviti wa kijiji wapinzani wengi sana Busega licha ya CDM kuwa juu hivi karibu, pia CUF and UDP wako katika hali ya kuwepo na sio goigoi. VIJANA wanaotaka mabadiliko wako wengi, Yuko Meya wa jiji la Mwanza Mabula, ambaye yeye ni wa CCM kitu ambacho kitampa wakati mgumu kuwashawishi wajanja wa nassa wampe jimbo, Yupo Meneja wa Telecentre ya Kwanza Tanzania Bwana LONGO, Yupo Moses Masunga Kijana machachali na mwandishi wa habari mkongwe sasa, wapo vijana wengi ambao kwa kweli nguvu wanazo na CHADEMA sasa iko juu kuliko wakati mwingine BUSEGA, Swali ni je Kamani na Paul Mzindakaya wataweza kuzuia nguvu za vijana wasomi ambao pia wanakubalika na wakazi wa Busega??? CCM BUSEGA BYE BYE.
\

Ni wazi sasa kwamba Arusha litakuwa "the first CCM free zone" hapa Tanzania likifuatiwa na Moshi, Mbeya, Bukoba, Mtwara etc etc; hebu Busega nanyi ongezeni kasi kufuata nyayo za Arusha!
 
Unajidanganya Mwanza will be the first so far Ilemela, Nyamagana, Ukerewe done, Magu, Misungwi, Sengerema, Buchosa, Busega now Shimiyu at the edge of UKOMBOZI
 
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,

Amekutuma uje utukane wapiga kura? Hata akitaka kununua chupi za wake zetu, si na mke wake atavaa maana naye ni mke wetu pia.
 
Mbunge mwenye akili au mtu mwenye akilil hasaidii kikundi, ni bora usaidie extreme case ya mtu moja binafsi mfano mtoto hana ada kabisa wakati nikipanga, extreme poverty za familia moja moja etc kuliko kikundi, maana kikundi kiko kwa ajili ya kujisaidia, unasaidia nini sasa??? hakuna kundi zuri kama la wapiga kura sio wauza samaki, wapika uzi mwaloni, wakausha sangara hakuna mantiki kwa makundi madogo madogo katika jamii, SAIDIA wapiga kura maana ndo jimbo lako kwa kuimarisha huduma za jamii kama maji safi na salama, barabara za lami kuepusha vumbi maana mtu ni afya, kwenye vumbi humo kuna kila aina ya magonjwa including TB, saidia bei ya mazao kama pamba kwa Busega, saidia elimu kwa harakati za mabweni na maabara kwa kila shule ya kata sio shule moja moja, saidia vyombo vya mawasiliano kama kituo cha redio au mawasiliano ya teknohama kwa vijiji na shule. Sasa umoja wa waendesha pikipiki unawapa pikipiki ya nini maana wanapikipiki ndo maana wakaanzisha umoja wa waendesha pikipiki, Saidia kupeleka umeme kila kijiji na kuhakikisha kila kaya inawekewa umeme, hapo ni lazima kuondosha nyumba za nyasi, sasa pamba badala ya zao kuu la biashara ni zao kuu la hasara. Wewe unasaidia baadhi ya vikundi badala ya jimbo???? saidia jimbo kwa mipango inayogusa jimbo zima ndo maana ukaomba ubunge wa jimbo sio kikundi.
 
Ndugu zangu, CCM kuing'oa yataka mikakati maalum na ya ukweli. Kama kweli wana Busena na wanaMagu tuna nia ya kuwatoa hawa jamaa tuache longo longo tuwe na mikakati ya makusudi. Kadashi sijui kama ana mpango wa kugombea,kiuwkeli Kadashi si mwana siasa na sina uhakika sana kama anweza kuhimili mikiki mikiki ya siasa za bongo. Jamaa kweli yuko vizuri ingawa nawakatalia kusema kwamba hana njaa, muulizeni pesa ya Hill Front aliitoa wapi na nini kilimfanya wakamshusha cheo? Nawaambia ukweli wabongo wengi tuna njaa. Wana Busega wajipange tu vizuri jimbo liko wazi ila kazeni buti. Magu jimbo lishakuwa wazi kitambo,UDP walituangusha tu last time lakini kila kitu kilikuwa wazi na DR Festus anajua kuwa alichakachua,kama anampango wa kugombea ajiweke sawa kuna vijana wa CDM wanajipanga kichini chini. Nimesikia kuna jamaa mmoja wa kijiji cha Ichobela ana nyemelea,siku hizi karibia kila jumapili tunamwona anapita kwenda kijijini kwao. Anafanyia kazi jijini Mwanza,kwao wakulima tu sina uhakika kama wana pesa ya kutosha hata yeye kama ni cash atakuwa nayo ya kawaida sana wala si ya kutisha ingawa ni jembe la ukweli. Ninachoweza kushauri sisi wapenda maendeleo na mabadiriko yenye tija,tujipange uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa tuhakikishe wazee na vijana wenye njaa wapenda kofia na vifulana wapate vidonge kwa kuwashushia kipigo cha mbwa mwizi wakose uwakilishi ili iwe rahisi kwa kujipenyeza.
 
Ndani ya CCM hali ikoje? Kawawa watoto wawili niwabunge, Nape na babayake, Mwinyi na wanawe wawili, Msuya na Mathayo Davidi waziri, Mzindakaya na Mwanae Paul, Mongella na Mwanaye John, Kiwkete na Mwanae Rz1, na Mke wake anayefahamika Salma, wasiofahamika usiniulize wengine ni mademu zetu, Karume na Wanae, Nyerere na wanae Makongoro na Rose, hawala na vitu maalum nadhani kama unaakili japo za kuku ulisikia mwenyekiti wao aliposema kama wanataka vyeo lazima na wao wakubali kuliwa, mpeleke mama yako kama anataka cheo harafu umuulize mambo? atakujibu neon moja tu, sitaki kuandika hapa. Hawala inakupa taabu sana ni sawa tu na hao wa vitu maalumu wa CCM, au hukumusikia Mama Kahama alipomwambia Sophia ni Changudoa unazani alilopoka au anaijua CCM ya sasa ndani nje??? acha mbwela zako, kuwapa nafasi wanawake kumewafanya nao watoe nafasi ndani ya CCM. Wakiwezeshwa Wanawake wa CCM wanaweza, CDM hatuhitaji kuwawezesha, wanaweza tu wao kama wao.
 
Tatizo lenu wasukuma wenzangu wa Busega ni njaa, njaa,njaa! Kupenda pilao, kuku soda na bia! Nakumbuka kipindi Raphael Chegeni alipokuwa mbunge wenu watu wa Busega walikuwa hawakatiki kwa mbunge wao pale Bwiru jirani na karakana ya Nyanza road engineers, januari hadi decemba watu wanamiminika kwa mbunge wao kula na kuomba misaada,ilifika hatua jamaa akaamua kujenga 'hosteli' ya wageni kwake.

Ushauri wangu ni huu, hii tabia ya kuendekeza njaa msipoidhibiti basi nyie ni mtaji wa ccm maana kwao mi-pilao na na takrima na usafiriwa fuso ndi penyewe.
 
Busega: Baraza la wazi la katiba leo litaanza saa 3 asubuhi. Mbowe na John Mnyika kuongoza, VIVA CDM VIVA WANABUSEGA
 
Na mimi nakuja,kwetu nassa ginery,mwezi wa sita nilikuwa nyumbani wananchi wameamka,wanaijua CHADEMA na baadhi ya sehemu wanao uongozi wa chama,kwa kifupi busega inahitaji fikra mpya,maisha magumu na ajira hakuna,vijana wa umri wangu sasa ni wazee,wasomi wa busega mpo?,twendeni nyumbani,BUSEGA KWANZA,busega peeeeeeeeeeeepleeeeeeee'sssssss
 
Huyo jamaa aliiba sana vocha za pembejeo kule S'wanga. Nashangaa Rizwan akalipeleka jina lake kwa mshua ili awe DC, na akawa!

Paul kaanza lini tabia ya udokozi?

Room mate wangu Mwakaleli Secondary school mwaka 1997 bweni la Mwakasendo kitanda yeye 11 B mimi 12 C!Kipindi kile alionekana 'mwanamapinduzi' mno kwa kujadili kwa jazba madudu ya serikali ya Mkapa hasa baada ya kumuondoa baba yake kuwa Mkuu wa Mkoa!

Sijaonana nae kitambo sana,nae kawa fisadi?
 
Like father like son, ameshakuwa mchumia tumbo, alikuwa anafoka kwa njaa tu sio kwa moyo na akili, tumbo bana linamambo
 
Back
Top Bottom