Kama unajua kisa cha mfa maji maeneo ya Coco beach tafadhali mwagika. Ningependa kujua jinsi walivyojitahidi kujiokoa mbele ya hadhira ya wana daresalama walioenda kula bata siku hiyo hapo coco.
Habari za jumapili ndugu zangu!
Naomba kwa mwenye uwezo wa kuniunganisha na bendi ya muziki au kanisa ili nifanye kazi ya muziki afanye hivyo tafadhali kwani hali imekuwa ngumu, nipo Dar.
Ninapiga kinanda na gitaa la ridhimu, pia ninaimba na ni mtunzi wa nyimbo. Nina uzoefu wa kufundisha na...
Wakuu,
Rafiki yangu kanitembelea jana, nilipokuwa namsindikiza akanidokeza kuwa anajua kuwa mkewe hampendi, maana haishi vituko...kila kukicha ni lawama na kumzushia mambo k.v. huko alikotoka amekunywa, amechepuka n.k.
Jamaa kishafanya majaribio ya kumtimua home kwa kibano na kwa kufata...
mh! mkuu, kwani ungeandika kwa kiswahili na sisi tuelewe si ndo ingekuwa faida zaidi? hv hiyo dini yenu mbona mnatumia lugha ye wenzenu badala ya dini kuadopt lugha ya mazingira yenu? i mean tafsiri kwa kila lugha...tuelewe kinachozungumzwa! kwa mfano hebu hiyo sentensi yako iandike kwa...
Habari zenu ndugu zangu? naombeni ushauri: Mimi nimeacha kazi baada ya kupata kazi ambayo imenigharimu muda na akiba yangu yote ya pesa ili kuipata, sio kwa kuhonga...bali kwa shughuli mbalimbali k.v. usafiri, printing, research n.k. Sasa hapa nilipo sina hela ya kuishi hadi mwisho wa mwezi...
Nawashangaa wanaCCM wanaopinga ukweli kwamba Lowasa hakubaliki, na wanawashangaa wananchi kumuona ana mvuto.
Kwenye biblia kuna simulizi ya mfungwa mdharimu ajulikanaye kama Barbas...Pilato alivyouliza "nimwachie nani?" wananchi wakaitika "Barbaaaas!" sasa iweje mshangae Lowasa kukubalika na...
Naomba kujua kama tume imelegeza ama nn, maana nliskia hakuna kutumia ndege kwa kampeni. Sasa nimeona clip ya mzee wa safari ya matumani, no...mzee wa maamuzi magu, aaagh...wa safari ya uhakika anadunda tu angani. kulikoni?
Habari zenu ndugu zangu,
Kama mnakumbuka, majuzi nilipost uzi kuomba ushauri kuhusu uwezekano wa kuacha kazi baada ya miezi miwili kazini na kupewa mafao yangu ya PPF. Kuna wadau waliguswa hadi kunifata PM kunipa tips, ila niliifanyia kazi ya mtu mmoja, yeye alisema niombe Sick Leave ya mwezi...
Umeshawahi kufanyiwa muujiza na Mungu hadi ukaona ni kama imezidi kipimo,yaani amekupa kiasi cha kumwagikia na kusukwasukwa, hadi unatetemeka kwa ndani na unaweza hata kukosea njia, huku ukishindwa uanze na neno gani la kumshukuru?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.