Recent content by mn-erick

  1. M

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Mkuu usishindanishe brands kuwa specific na model Hisense U8H toleo la 2022 ina tuzo ya best budget tv marekan..bongo yupo mdogo wake U7H na bei yake imechangamka.Inch 55 niliipata kwa 1.6mil last year July .U8H sijafanikiwa kuiona hapa Bongo
  2. M

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Natafuta hii radio Sony SH 20000
  3. M

    Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

    Pm mpya kila siku? Tht is not u confused m with sm1 else.anyway ni ngumu kukushawishi unacho amini sio...i rest my case & keep hope for the best.mchana mwema
  4. M

    Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

    Ulinihukumu vibaya, Tena kwa kufata hisia na si uhalisia.unaacho amini kipo hakipo na hakitakuja kuwepo.kama hutanielewa leo na kuniamin basi haitakuja tokea sababu hakuna kitakachobadili..nilivyo kuwa jana ndivyo nilivyo leo na nitaendelea kuwa hivyo kesho
  5. M

    Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

    If the heven will bless m with ur no. Then huu mwaka ni wa baraka kwangu
  6. M

    Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Wengi tu,kati ya maambukizi kisiwa 150,000 duniani kote ni watu kisiwa 5,000 tu ndo wamefariki Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Tujifunze kujali na kuwa wema kwa kila mtu bila kujali unamfaham au la.we only live once.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Hii itakuwa mara ya pili naandika jamii forum tangu nimejiunga, Nimeguswa sana na Msiba huu wa mdau,hasa baada ya kupitia nyuzi zake mbali mbali,sikubahatika kumfaham marehem kabla ya leo,lkn kuna jambo kubwa nimejifunza. WE JUST OLDNARY PEOPLE,LETS BE GOOD FOR EACH OTHER WHILE WE STILL CAN...
  9. M

    Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Garama halisi ni kiasi gan kwa mtazamo wako(tupe na fact ya research uliyofanya juu ya garama)
  10. M

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Nimepasua Tyre juz usiku hapo Igunga-Nzega..Hicho kipande kinashimo si za nchi hii
  11. M

    Whatsapp,Facebook na Instagram iko chin worldwide

    Whts up inafanya kazi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom