Recent content by Mmwaminifu

  1. M

    Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

    1. Hao wote uliowataja hapo hakuna nabii hata mmoja. Nabii ni kama Elia, Elisha na Yohana Mbatizaji. 2. Hata kama kweli wangekuwa manabii. Haimaanishi kuwa maovu waliyofanya ni halali na sisi tuyafanye. 3. Ungejenga hoja yako kwa mazuri anayofanya Shilla kwa kulinganisha na waliyoyafanya...
  2. M

    Huduma Mbovu benki ya NBC Songea

    Mkuu! Hela ya kwako bado una hangaika? Mi huwa nahangaika wakati wa kusaka hela tu, na sio wakati wa kuitumia. Hapo saka benki nyingine tu fasta fungua akaunti anza kukimbiza mihamala fasta.
  3. M

    Wahudumu wa Lodge wanahaki ya kuhoji idadi ya wapenzi kwa wateja?

    Kaa naye vizuri. Atakuwa anatamani kuongezeka kwenye idadi ya ulionao
  4. M

    Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Unawafahamu vizuri HESLB au unawasikia mkuu? Mi nina statement 4 toka kwao, zote zina details zangu full. Ila kila moja ina amount (deni anzia) yake tofauti. Ukitaka uumwe kichwa nenda ofisini kwao, utakaa masaa 9 ya siku bila msaada wowote. Hapo hujapewa jibu la kuudhi.
  5. M

    Nilitaka kusafirisha mzigo kwa njia ya reli nikakuta gharama ni kubwa kuliko malori

    Shida ni kwamba hausianishi mshahara wake na huduma anayotoa. Yaani hajui kuwa mizigo ikisafirishwa mingi kupitia kampuni yake ndo anakuwa na uhakika zaidi wa mshahara. Kusema ukweli hata mi leo ndo nimejua kuwa posta wanasafirisha mizigo
  6. M

    Nilitaka kusafirisha mzigo kwa njia ya reli nikakuta gharama ni kubwa kuliko malori

    Kama TTCL. Hii nchi mashirika ya umma ni tatizo sana. Yaani swala la kujiongeza ili kuvutia wateja ni kama hakuna kabisa.
  7. M

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Asanteni sana woooote kwa ushauri wenu. Hakika mmenipa mwanga mzuri. Kesho ntapita garage halafu ntaleta mrejesho.
  8. M

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Yaani kuwaka haina shida kabisa. Tatizo ikishawaka ndo shida zinaanza. Baada ya dakika 2 hadi 3 inatulia fresh kabisa kama sio ile. [emoji1787]
  9. M

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Asante sana mkuu. Plug nimebadilisha hazina mwezi. Na nilinunua (mwenyewe) hizo hizo original
  10. M

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Heshima zenu wakuu. Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sana hadi wakati mwingine inazima. Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa. Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea...
  11. M

    Wizi wa mafuta kwenye vituo: EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

    Pia hakikisha hakuna dumu karibu hapo. Niliwahi shuhudia dumu linavutwa fasta nikamwambia hayo mafuta niwekee kwenye tenki la gari. sio kwenye hilo dumu lililovutiwa nyuma ya gari. Aliishiwa nguvu balaa
  12. M

    Je, wajua Mapdri wengi ni makachero wanao enda kutubu kwao ukamatwa

    Eti padre alimsamehe dhambi. [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom