Recent content by mmmuhumba

  1. mmmuhumba

    SoC04 Neno tusi ni sumu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume

    Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
  2. mmmuhumba

    Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  3. mmmuhumba

    Mambo ya kumuaminisha mwenza/mpenzio unapendeka ukiwa umetoka kusamehewa

    jambo la msingi umeelewa na unapaswa kutambua muvi ni kuigiza, hiki ni kipaji cha kila binadamu tofauti ni weledi tu na mkazo ukidhamiria.
  4. mmmuhumba

    Mambo ya kumuaminisha mwenza/mpenzio unapendeka ukiwa umetoka kusamehewa

    1. Kumpa uhuru wa kuwasiliana nawe. Wengi wapenzi upima na kuyafurahia upya mahusiano yao kwa kuona nafasi aliyonayo kimawasiliano na mpenzie au mwenza waliotoka kukosana na kuombana msamaha. Ikiwa bado suala la mawasiliano ni la kutafuta kwa tochi, mambo kama lawana, kuonesha dharau na...
  5. mmmuhumba

    Nini huwa sababu ya Penzi kuisha ghafla ama kuwa chungu?

    Utafeli, inaonesha bado huja miliki pesa, ukizipata utapata kujua ukwel wa unachoamini. Kaachwa bill get.....
  6. mmmuhumba

    Nini huwa sababu ya Penzi kuisha ghafla ama kuwa chungu?

    Mapenzi uumiza, ushawahi jiuliza inakuwaje amani imetawala, bata unazila, mapenzi yamenoga alafu ghafla mpenzio/mwenza wako anakuambia "mimi na wewe basi". Zipo sababu za kujifunza kuyaepuka haya na pia kuwa tayari kuyapokea mapya usiyo yatarajia kwenye mapenzi. 1. Uoga wa maisha. Mpenzi/...
  7. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    1. Kihisia - ni kuanzisha mahusiano na kudumu nae kwa kuwa umeguswa naye kifikra kuwa naye. 2. Kimahitaji- ni kuanzisha mahusiano na kudumu nae kwasababu unakitu unakipata kwake cha kuziba pungufu lako kama kuanzisha upate fedha, mali, kusomeshwa, kula nk
  8. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    Ni kweli, ila binadamu wote tuna mapungufu ili tujengane. Ni kupambana nayo maana mapenzi hayaishi" tatizo tu wa bovu wa tendo lile... ni nouma
  9. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    Sana ndugu Surya, napofanya ushauri na elimu huwa nakutana na watu wanakuelezea walivyotoa mali na pesa hadi kuna wakati nasema " dah kuna watu wanapewa ndoto za watu lakini bado hawashikiki hisia zao". Shida watu wengine wanashindwa kutambua kuwa kuna mahusiano ya aina mbili: 1. Ya hisia 2. Ya...
  10. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    Asante, ni kujengana kupitia udhoefu na kujifunza kwa wengine. Elimu haina ukomo. #karibu
  11. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    Hahaha asante. Karibu sana kubadilishana mawazo 0624 440 454 ukinitext "nzugilwa jamii forum" nitakukumbuka.
  12. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    1. Kutumia lugha asiyoijua Ni hadhi mtu kutumia lugha fulani kuonyesha wewe ni msomi, mjuaji au umetembea, lakini ni mbaya kwa mpenzio ambaye hana maarifa hayo, uona kama umedharau na kumkejeli. Tumia lugha ya kueleweka ili uonyeshe wewe na yeye ni wamoja na unakusudi zuri kwake kwa...
  13. mmmuhumba

    Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

    Sasa usiombee ushapaka mkongo hahahahaaaa
Back
Top Bottom