Recent content by mmj4

  1. M

    Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    Huyu anakusaidia tu na hii ndo ubaya wenu nyie MTU anakusaidia na dhiki zako tayari mawazo kwe mambo down affair tu sijui mnakuwaga VP nyie akh!! Sipendagi ujinga mm.
  2. M

    Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

    Mkoani morogoro maeneo ya wilaya ya ulanga ,mahenge/ilonga au mbuga waweza waona kule kuna mabwawa makubwa na mito inayotokea kwenye hifadhi ya seras game reserve pia maeneo ya Ifakara kwenye mabwawa ya kitope na makutano ya MTO rumemo na kilombero
  3. M

    Damu ya mtu hunuka

    Ndio mahabusu wengi wanaoshitakiwa wakiwa na matatizo au akionekana ana mapungufu yasio ya kawaida hupelekwa kwnye taasisi ya isanga iliyo chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii hupimwa akili na hutibiwa akipata afueni hurudishwa gerezani na kurudishwa alipotoka chini ya uangalizi wa jeshi...
  4. M

    Damu ya mtu hunuka

    Yule DOGO kashatoka jela tangu 2012 kitu kama coz alipelekwa milembe kupimwa hakili akaonekana hayuko sawa nilimuona wakati nipo kule jela ,:n,b usiulize jela nilikuwa nafanya nn.
  5. M

    Mke wangu kanifokea sana

    We ni mdhalilishaji kwa jinsi tu ulivyo yani umeshindwa kumuita Dada wa kazi hadi umuite beki tatu? Mnatusumbuaga sana nyie mlokuja mjini na fuso za pamba asuhi nyie .Yani mkishapata pesa tu mnajidai kusahau na ngebe lukuki.
Back
Top Bottom