Recent content by mmewako

  1. M

    JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Pengo mulika shule za Kanisa lako takatifu

    Ndugu Yangu Inaonekana Huujui Mfumo Wa Kiitifaki Wa Kanisa Katoliki,askofu Pengo Siyo Kiongozi Mkuu Wa Katoliki Tz,askofu Wa Kila Jimbo Ni Incharge Ktk Jimbo Lake Na Wote Ni Direct Acountable Kwa Pope(kiti Cha Kitume),kwanza Pata Darasa Hilo Mkuu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    Tutaproove Vp Kama Usemayo Ni Kweli?Ambatanisha Vielelezo Usituingize Mkenge Mkuu,mjini Shule!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda

    Ka Humpendi Dadako Na Mamako Na Mkeo Wanampenda!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda

    O.P!Umeelewa Topic?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rtd Capt. Lowassa Anastahili Heshima Kubwa ,Tunzo ya Amani Kwa Amani ya Tanzania Baada ya Uchaguzi

    Mimi Ni Kati Ya Wasioamini Ktk Ulowassa(lowassaism) Aka Mabadiliko Lakini Katika Hili Nampongeza!Mnyonge Namnyonga Haki Yake Nampa
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Dar es Salaam, mnataka kuivua nguo CCM? Muwe makini

    Ongea Kwa Data,ccm Wana Madiwani Wangapi?Cdm Wana Wangapi?Usiongee Shalowly,numbers Do Not Cheat!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Safari yangu kwenda kutembelea na kupiga picha kibao MWEZINI NA JUA hapo Jan 6

    Kwahiyo Utakuwa MWEZINI!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Naamini ipo siku nitakuwa Rais wa watanzania, endeleeni kuniombea

    Na Mie Nina Ndoto Za Kuwa Rais Wa Marekani!Niombeeni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Mie Wa Kgm,imagine We Ni Rais Kati Ya Serukamba,obama,mwilima,nsanzugwanko,birago,vuma Ungemteua Nani?Hatufanyi Kubalansi Kila Mkoa Upate Rais,ndo Mwanzo Wa Kupata Mawaziri Mizigo Na After All Hizo Ni Fikra Mgando Za Regionalism Na Tribalism,bigup Magufuli
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaja kamkumbatia bodaboda, nikamtimua

    Wivu Za Kiadolescent Hizi,hovyoo+ulimbukeni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wana Jamii forum kuna mtu anayemfahamu William Marrion Branham

    Alikuwa Mhubiri Mashuhuri Sana Wa Marekani Miaka Ya 1900s,haamini Ktk Madhehebu Na Pia Anapinga Ubatizo Wa Maji,kwa Mujibu Wake Hawa Alizini Na Shetani(nyoka) Akazaliwa Kaini,alikufa Kwa Ajali Ya Gari Huko Inos USA,pia Anajiita Last Massanger Of Leodikia Church Kwa Mujibu Wa Unabii
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

    Alikuwa Kazini,hapa Kazi Tu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunateswa sana na mabinti tukiwa masomoni

    Njema Inataka Mapenzi Ya Huruma!Toa Hela Ujenge Heshima Kijana
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi iliyonigusa Jumamosi hii

    Mi Cjakusoma!Ebu Rudia
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana madeni balaa

    Ata Mi Namdai,ebu Nipe No Yake
Back
Top Bottom