Historia ya Paul Makonda

Historia ya Paul Makonda

Nchi Hii Kwa Ilivyo Sasa Inabidi Kutumia Style Ya Makonda Kwanza Ili Watu Wanyooke Na Wajue Kuna Serikali. Wako Vijana Na Watu Wazima Walioambukizwa Ujuha Na Viongozi Hasa Wa Kisiasa Wasioheshimu Mamlaka. Hawa Ni Kudeal Nao Hivihivi Kwanza Baada Ya Mwaka Watakuwa Wamerudi Kwenye Mstari
watu washamba kama makondaaafai kuwa viongozi
 
Simpendi makonda, hasa kuwa mtu wa kupenda masherehe sana wakati kipindupindu kikipiga kasi,eti sherehe ya kuwapongeza polisi, only in Tanzania unawafanyiaje sherehe watu wanaotimiza wajibu wanaopaswa kutimiza. Simpendi huyu siyo cr?ative yeye anapenda kula kula tu na masherehe

sasa kenge kama wewe usie na kazi zaidi ya kushnda humu jf hata ucpo mpenda makonda unadhani atapungukiwa na nini?
 
Sitta alimuadopt kamsomesha hadi MUCCOBS. Aliwahi kuiba simu BMK kabla hajampiga kabari mzee Warioba pale Ubungo na hatimae kuzawadiwa uDC kino kwa kazi nzuri
 
Asipojifunza kutulia na kumudu hasira zake, hataweza kufika mbali kisiasa....atatumiwa na baadae ataishia walikoishia wengine wengi....Frustations!!!
 
Wazazi wake + malezi + kazi alizokwisha fanya itawapa picha kua ni mtu wa naamna gani? na je serekali ina vyombo vya kuchunguza wafanya kazi kabla ya kuteuliwa, na vipo vitakua na udhaifu kiasi gani? na je chama anachotoka kina maadili kiasi gani, kama kuna anayejua mririko aweke
 
attachment.php


Usikonde mkuu.[/QUOTE
Ya simu huna?
 
Kuhusu mkubwa nani kati ya DC na mbunge - hiyo equation haiko wazi; wawili hao wote wanatoka kwenye mihimili tofauti ya dola - Serikali (Makonda kama mkuu/rais wa wilaya), na Bunge (Kubenea kama mbunge/mwakilishi wa jimbo la wananchi).
Kamwe huwezi kuwaweka hao pamoja na kusema nani mkubwa - wanatoka kambi tofauti zenye utendaji wenye uhusiano tu na sio ulinganifu.
Cha maana hapa kwa hao wawili ni KUHESHIMIANA; kila mmoja afanye wajibu wake vema kwa kadiri ya majukumu yake (JDs)

mkuu wa mkoa anatamani sana kuwa mbunge ubunge upo juu
 
Nchi Hii Kwa Ilivyo Sasa Inabidi Kutumia Style Ya Makonda Kwanza Ili Watu Wanyooke Na Wajue Kuna Serikali. Wako Vijana Na Watu Wazima Walioambukizwa Ujuha Na Viongozi Hasa Wa Kisiasa Wasioheshimu Mamlaka. Hawa Ni Kudeal Nao Hivihivi Kwanza Baada Ya Mwaka Watakuwa Wamerudi Kwenye Mstari
.Acha jazba unafikiri wanaweza kuwafunga watu wote wa kinondoni au wakorofi wa nchi hii.inahitaji busara ya hali ya juu unapowaongoza watu.sio kama mchunga mbuzi mluzi tu mbuzi wanageuka.take care mkuu
 
Back
Top Bottom