Utasikia wakimwambia acha nyetoo.
Mim ni muumin mda mrefu tangu na balehe ila bao la kwanza hua naenda dakika 5, 9, 15 had 20 humo.
yani bao moja mtoto wa watu hoi ata kuamka hawezi.
siku hazilingani, kikubwa maandalzi ya maana
hvo tu migongano ya watu wazma walio kulia mahara tifaut.
Kikubwa kila mtu akijua wajibu wake ndan ya family na kuvumiliana kwa kila hari.
Mnatoboa had uzeeni
MAISHA NI MAFUPI MNOO MADADA ZETU WANATULINGIA TU
ndio wanawake tofauti.
Majukumu ninayo tiari ila nipo huru, sisumbuliw na kiumbe KE.
Mara unyimwe mbususu na mnalala wote, na stress kibao.
nasema haya nishawah kuoa sio mgen mambo hayo.
ila usiogope kuingia, huwa ni kubahatisha.
namim ntarudimo tena.
Hapana hiyo haita kuja tokea tena labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.