Lol, asante mdada uloshare hii habari, i had one diet, hii soup walikuwa wanaita "wounder soup" kama ulivyosema kiukweli hii supu mimi ilinishinda, mmmh, may be nijaribu tena, ila mimi nimefanya diet, so far nimeshaloose 20 kgs, na ninaendelea nayo, ninakata kilo 3 kwa week kama sikucheat...