Amani inatengenezwa, amani inaandaliwa amani haijadiliwi.na kama mlikuwa na taarifa za chadema kuaribu amani na hamkuchukua hatua basi unaivua nguo serikali inayoongozwa na chama chako kwamba ni dhaifu.
Kwa hiyo tija kwa Taifa ni ipi hapo kama siyo kuzidi kuongeza tatizo la wasio na hajira?na hicho kifaa kitakuwa na uwezo wa kkusahhisshia wanafunnzi?au mwalimu atasafiri kusahisha kazi za wanafunzi wake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.