Recent content by mmash

  1. mmash

    JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?.. Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
  2. mmash

    JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Matagi ya soda
  3. mmash

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna yeyote humu ashaangalie movie ya THE KING OF FIGHTERS ?,tafuta hii movie ina kamfanano flan hv na hii simulizi.... By the way singanojr hongera sana,uko mbali sana mkuu
  4. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa singanojr nako kumedamshi blaa
  5. mmash

    JamiiForums Tanzania Robertinho anapewa sifa za kijinga tu pale Simba lakini kuna siku tutalia mchana kweupee

    Una maono sana brother,
  6. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mimi naomba INSIDER MAN anipe pande nikatulie kwa Jane,nimsaidie mzee Pama malezi ya kijana,nitamtunza vzr sana Jane na mtt hadi pama atatabasamu huko kaburini kwake
  7. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu,Mungu alikua akileta miongozo ya sisi kuifata kulingana na zama.hakutoa muongozo kwa Adam na Hawa/Eva siku moja tu.bali alikua akibadili maisha taratibu kulingana na zama. Kila zama zilikuja na taratibu mpya kama serikali za mataifa zinavyobadili katiba na mitazamo siku hizi,huwezi kutumia...
  8. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sawa mkuu,nimefunga tyr
  9. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana. Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa...
  10. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    اللَّهُمَّ امين
  11. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwambie BM X6 wako aje aendelee na story zenu
  12. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tena sio cheti km cheti tu,wasije kujipeleka Bomani kwa ndoa ya kiserikali ati ili wapate cheti,nashauri wamalizane na Mungu kwa kufunga ndoa kwa misingi ya imani zao.
  13. mmash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😂😂Fala sana we jamaa,
  14. mmash

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

    Mijitu inatumbukiza hadi chupa za wine na haiumii leo mtu anataka kuongeza ub*o ili iweje labda? Akiona ki ub*o hakimtoshi atumbukize mguu hadi gotini kidadeki zake
Back
Top Bottom