Recent content by mmasai20

  1. M

    Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

    kwani wakivaa vimini nini cha ajabu? huo ni ushamba
  2. M

    Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    we jamaa huna jema kabisa!!!!!!!!! angetumia ndege ungesema ndege gharama,asingeenda nyanda za juu kusini ungesema anawatenga watu wa nyanda za juu kusini.............shida yako akili yako inaongozwa na mange kimambi ndio tatizo,siku akikuambia nenda ukajilipue utakimbiza kichwa tu ,some time...
  3. M

    Polisi na dola wanatetemeka, kuna jambo wanalificha juu ya Abdul Nondo. Haya ndio niliyoyagundua juu yao...

    tuambie huo mwisho mbaya ni upi maana nyie ndio huwa mnaanza kuleta machaFUKO katika nchi,natumaini wenye mamlaka ya kufatilia wameshakua snipp yao
  4. M

    Mwigulu hajajua uzito wa ngoma hii, alipoanzia CHADEMA walishapita zamani

    mange ni mmoja wa watu waliompigia kura magu leo anaongoza maziro
  5. M

    Tatizo la uume kusimama ukiwa kwenye magari ya abiria, nini sababu?

    hakuna kitu kinanyima raha hapa town kama kodi ya nyumba ,maana lzm stimu zote zikate
  6. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wameshakuja wa dharura wakasema mita hii muda wake umeisha unatakiwa ubadilishiwe mita...kwenda mbezi ndio wakajibu hivyoo,narudia tena kuwapongeza wa dharura
  7. M

    Madhara ya kuvaa Chupi

    shida kama una body lako utakuwa unatuumiza sana sie ambao sensitivity yetu ipo high,usifanye hivyo tafadhari
  8. M

    Madhara ya kuvaa Chupi

    hahahaahahahaha unaiacha inapunga hewa.............
  9. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    kwa upande wa dharura nawapa pongezi mmeboresha sana, ila huduma zenu bado za kupigana tarehe sana,mita yangu ime expire tangu wiki sasa,umeme unaingia lkn hautoi kuingiza ndani,naenda pale mbezi tanesco waje wabadilishe wanasema ngoja tukuandalie mpaka wiki ijayo ,kweli kitu cha kuchukua tu...
  10. M

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    nimependa sana maneno yako,unaonaje ukimalizia kabisa
  11. M

    Licha ya kuwa na kibamia hakuna demu aliyepata ushindi kwenye mechi dhidi yangu

    weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  12. M

    Licha ya kuwa na kibamia hakuna demu aliyepata ushindi kwenye mechi dhidi yangu

    inawezekana ana mikunjo yake ambayo maeneo yanaweza kusogea karibu,mpatie ajaribu
  13. M

    Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    mbona unatetea sana oil com ? kataa mpaka ulie lakini oil com wezi sana kwanza kwanini wanakataa kwenda na vidumu vya lita 5 au 10 au 20? majizi makubwa nyie
Back
Top Bottom