Tatizo la uume kusimama ukiwa kwenye magari ya abiria, nini sababu?

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,925
5,528
Kama kichwa cha habari elezwa hapo juu kinavyojieleza ,

Leo nikiwa naelekea Posta tokea Kimara mara mama moja akawa anapayuka na kumshambulia kaka fulani kwamba kashindwa nini kudindisha mbele ya mke wake anakuja kudindishia kwenye gali la umma na kumgusisha yeye

Wanawake tusitilini wanaume jamani ndo tulivyoumbwa, ikiwezekana mwambie tu taratibu sio gari zima mpaka watu wajue.

Lakini ningependa nijue pia kwa wataalamu wa mambo haya je tatizo la wanaume kudindisha dindisha, mpaka inafikia hatua hii inatokea hivi kwenye public ,

Je wanawake ndo sababu kwa uvaaji wao? Au sisi wanaume hatutongozi mpaka inafikia mtu anakuwa na ugwadu kiasi hicho ? Au kuna sababu zingine zinazopelekea hayo?

Mwaka mpya na mambo mapya.
 
Kama kichwa cha habari elezwa hapo juu kinavyojieleza ,leo nikiwa naelekea Posta tokea Kimara ,mara mmama moja akawa anapayuka na kumshambulia kaka fulani kwamba kashindwa nini kudindisha mbele ya mke wake anakuja kudindishia kwenye gali la uma na kumgusisha yeye wanawake tusitilini wanaume jamani, ndo tulivyoumbwa ,ikiwezekana mwambie tu taratibu sio gari zima mpaka watu wajue.

Lakini ningependa nijue pia kwa wataalamu wa mambo haya je tatizo la wanaume kudindisha dindisha ,mpaka inafikia hatua hii inatokea hivi kwenye public , je wanawake ndo sababu kwa uvaaji wao? Au sisi wanaume hatutongozi mpaka inafikia mtu anakuwa na ugwadu kiasi hicho ? Au kuna sababu zingine zinazopelekea hayo?

Mwaka mpya na mambo mapya.
Ni kawaida boss unapokuwa umebanana na mwanamke. Kikubwa jaribu kujikwepesha ukiona umesimama na mwanamke mbele Yako. Mimi huwa nageuka upande mwingine kama kuna mwanamke mbele. Japo kuna wadada wanapenda kujisogeza makusudi ili tu umgusishe na dude. Vizuri ukae kwenye siti hivyo usipande Gari ikiwa imeshona. Wakati mwingine ukiongea tu na sim huku unatembea. Sasa km umevaa kimodo au umechomekea inakua tabu. Wanawake watuvumilie tu wengine ndo tupo hivyo.
 
Hao wanawake ndiyo wenye kupenda tabia hiyo na wengi wanajilengesha makalio yao makusudi,kujamaa alikuwa kambambia demu na huku wakipiga story hadi nilidhani ni demu wake kumbe wamekutana tu kwenye daladala na mwishoni jamaa akamlipia yule demu nauli.
 
Imewehi kunikuta sema ghafla nilianza kufikiria ntapataje kodi ya nyumba hisia zikapotea
Mi ilinitokea nimebanwa na bonge la mama,yani siwezi kugeuka kushoto wala kulia basi unapoteza mawazo ila baadaye mashine inasimama tena mwendo ndiyo ukawa huo. Ila mwishoni yule mama anakuja kushuka akawa anajipapasa nyuma kama hajachafuliwa basi niliogopa sana maana kama ndiyo umemchafua si ndiyo unachezea kiponda na kuonekana ni dungadunga.

Yani ni mtihani sio mdogo.
 
Ni kawaida boss unapokuwa umebanana na mwanamke. Kikubwa jaribu kujikwepesha ukiona umesimama na mwanamke mbele Yako. Mimi huwa nageuka upande mwingine kama kuna mwanamke mbele. Japo kuna wadada wanapenda kujisogeza makusudi ili tu umgusishe na dude. Vizuri ukae kwenye siti hivyo usipande Gari ikiwa imeshona. Wakati mwingine ukiongea tu na sim huku unatembea. Sasa km umevaa kimodo au umechomekea inakua tabu. Wanawake watuvumilie tu wengine ndo tupo hivyo.
Umeongea vema kabisa yaani wanawake kwasababu kimaumbile awana kitu ambacho kina simama kikaonekana basi wanajiachia tu kwenye gari ikitokea mmegusana na mwanaume kwenye gari kwasabu ya kubanana kwenye gari wote muna wajibu wa kukwepana sio mwanaume tu ,mwanamke ukiona mwanaume kwanyuma yako sogea mbele na mwanaume na yeye asogeesogee kwa nyuma ili hali ya ki biolojia iepukwe sio kwasabu mwanamke ujaumbwa kusimamisha basi ndoujiachie tu
 
Mi ilinitokea nimebanwa na bonge la mama,yani siwezi kugeuka kushoto wala kulia basi unapoteza mawazo ila baadaye mashine inasimama tena mwendo ndiyo ukawa huo. Ila mwishoni yule mama anakuja kushuka akawa anajipapasa nyuma kama hajachafuliwa basi niliogopa sana maana kama ndiyo umemchafua si ndiyo unachezea kiponda na kuonekana ni dungadunga.

Yani ni mtihani sio mdogo.
Kama wewe kaka ndounaelewa hali inakuwaje vizuri sana
 
Mi ilinitokea nimebanwa na bonge la mama,yani siwezi kugeuka kushoto wala kulia basi unapoteza mawazo ila baadaye mashine inasimama tena mwendo ndiyo ukawa huo. Ila mwishoni yule mama anakuja kushuka akawa anajipapasa nyuma kama hajachafuliwa basi niliogopa sana maana kama ndiyo umemchafua si ndiyo unachezea kiponda na kuonekana ni dungadunga.

Yani ni mtihani sio mdogo.
halaf ukiwaza ujizuie usidindishe ndio unakuwa kama umeichokoza
 
Kuna baadhi ya wanawake wanapenda hiyo hali, kuna siku nilikuwa kwenye daladala full kubanana, mbele yangu kuna mdada mashaallah kajaaliwa, basi nikaanza kusimamisha.. Lol.. Nikaona sasa balaa limeanza nikawa namkwepa kwepa kwa kujirudisha nyuma kwa mazingira yale nisingeweza kugeuka. Ila kila nikirudi nyuma nayeye ananifuata aisee kama mara tatu kabisa, mwisho nikaamua kutulia tu.. Bahati nzuri akashuka kabla yangu, cha ajabu wakati anashuka aligeuka kuniangalia huku anatabasabu... Hapo ndo nikagundua kumbe alikuwa anafanya makusudi..
 
Kuna siku nilikua natoka bunju kwenda mwenge nilikomaa, Dada mmoja yuko mbele yangu alafu akawa ananifanyia makusudi ananibana huku anatangisha gari ikiyumba, acheni aisee yani MAJARIBU NI MTAJI, siku hiyo nilidindisha mpaka misuli ya mashine ikauma.
 
Yani wao wanaona raha vile unavyofadhaika,kuna rafiki yangu nae alifanyiwa kama hivyo tena na mwanafuzi,basi alipiga kama bao 3 palepale. Sasa yule mwanafuzi wakati anashuka anamwambia mwenzie et nimempatia yule mkaka.
 
Kuna baadhi ya wanawake wanapenda hiyo hali, kuna siku nilikuwa kwenye daladala full kubanana, mbele yangu kuna mdada mashaallah kajaaliwa, basi nikaanza kusimamisha.. Lol.. Nikaona sasa balaa limeanza nikawa namkwepa kwepa kwa kujirudisha nyuma kwa mazingira yale nisingeweza kugeuka. Ila kila nikirudi nyuma nayeye ananifuata aisee kama mara tatu kabisa, mwisho nikaamua kutulia tu.. Bahati nzuri akashuka kabla yangu, cha ajabu wakati anashuka aligeuka kuniangalia huku anatabasabu... Hapo ndo nikagundua kumbe alikuwa anafanya makusudi..
Ukizaa watoto/mtoto wa kike jiandae kulea wajukuu manaake siku hizi masela hawataki kuoa.
 
Kuna siku nilikua natoka bunju kwenda mwenge nilikomaa, Dada mmoja yuko mbele yangu alafu akawa ananifanyia makusudi ananibana huku anatangisha gari ikiyumba, acheni aisee yani MAJARIBU NI MTAJI, siku hiyo nilidindisha mpaka misuli ya mashine ikauma.
Ulikuwa unajaribu kujizuia nini?
 
Back
Top Bottom