Recent content by Mmakonde Chale

  1. Mmakonde Chale

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Utakua na mtindio wa akiliblicha ya uwezo wako wa kuigiza
  2. Mmakonde Chale

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Hao watakuwa masheikh wa Bakwata.... Mbona hajaitwa na Pengo akaombewe duah? Njaa mbaya sana.
  3. Mmakonde Chale

    Serikali imekuwa ikikusanya mapato kinguvu kwenye magari na kusingizia ni faini

    Mimi nilirudi kijijini kusubiri mgawo wa million i 50 za mtukufu rais
  4. Mmakonde Chale

    Mheshimiwa Rais, December daraja halikuisha na Mhandisi hajajinyonga...

    Tunaye mtukufu rahisi wa nchi mlipukaji. Bora awe anasoma hotuba kuliko kuamini kichwa chake
  5. Mmakonde Chale

    Tanzania kukopa trilioni 2.1 kutekeleza bajeti ya 2016/17

    Matunda ya 'mtakatifu' rais wa nchi anaedhani anajua kila kitu, hayo ndo matokeo.
  6. Mmakonde Chale

    Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

    Hiyo ndo siri ya ujana wa Mzee wa Msoga.... bata ubatani kwenda mbele hata ukiwa kizee
  7. Mmakonde Chale

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Tatizo la siasa kwenye biashara. Bado wanaota ndoto ya chama kushika hatamu.
  8. Mmakonde Chale

    Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Hiyo PhD aliipataje huyo mtakatifu wa Chato wakati masomo yote kuanzia kidato cha kwanza ni lugha ya malkia?
  9. Mmakonde Chale

    Nani anajua elimu ya mwandishi Ulimwengu?

    Mpe heshima Jenerali Ulimwengu... Si wa aina yako. Alikua mshauri wa Rais Mkapa awamu ta kwanza kabla ya kuvurugana awamu ya pili. Pia alikua mkalimani wa mwalinu Nyerere lugha ya kifaransa. Aneitumikia nchi hii kwa uadilifu. Ingawa uzalendo wake unanyooshewa vidole na wanasiasa wa ccm. Ni...
  10. Mmakonde Chale

    Swali: Muhongo kuielekeza EWURA ni sahihi wakati haiko chini ya wizara yake?

    Hakuna anaependa umeme upande..... Suala ni waziri Muhongo kuingilia maamuzi ya ewura. Anataka kutuendesha kwamba naye kasikia tangazo vyombo vya habari?
  11. Mmakonde Chale

    Rais Magufuli awashangaza wakazi wa Tinde

    CCM wanadhani bado huu ni mwaka 1977
  12. Mmakonde Chale

    Waziri Mpango: Kasi ya ukuaji wa uchumi; Tanzania inaongoza barani Afrika

    Mwendawazimu tu anaweza kuropoka kiwango hicho
  13. Mmakonde Chale

    Ndugu Rais tulibipu tukaingia, na sasa tunabipu kutoka

    Viwanda zaidi ya 1000 hivi watanzania wangehangaika na ajira? Mwalimu Nyerere miaka 24 kashindwa kujenga viwanda kila wilaya.... huyu 'mtakatifu' rais wa awamu hii atawezaje?
  14. Mmakonde Chale

    Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Mkapa hakupendelea kwao. Daraja la Mkapa, makubaliano na utiaji sahihi yaliwekwa kipindi cha Mzee Rukhsa na serikali ya Kuwait. Huyo mtukufu rais makomeo anathibitisha utukufu wake. Ndiye huyo anaesafiri kwa gari hadi Rwanda lakini si Chato.
Back
Top Bottom