hivi unajua kirefu cha EWURA?Tunachotaka ni gharama za Umeme ZISIPANDE.
Sasa kama EWURA ipo chini ya Wizara ya Kilimo au sijui Wizara gani...it has nothing to do with our daily life..!!
Gharama za umeme zisipande na kwa hatua ambayo Prof Muhongo umechukua mpaka sasa tunashukuru.
Lazima Waziri wa Nishati usimamie lile tamko lako kwamba umeme hautopanda bei.
Kama tanesco ndiyo ilipendekeza bei mpya kwa ewura,,,ina maana kulikuwa na mawasiliano katiya tanesco (ambayo ipo chini ya waziri wa nishati)
Kama tanesco iliweza kufanya mawasiliano na ewura iweje waziri wa nishati ashindwe kuwasiliana na ewura kwa jambo lilelile?
Kumbuka apa waziri wa nishati kasimamisha jambo lililopendekezwa na chombo(tanesco)toka wizara yake.
Kisheria Waziri mwenye mammals na Ewura ni waziri Wa Maji na Muhongo hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya mdhibiti..he was suppose to send it to TANESCO.. Kisheria amekosea ila Kwa sababu nchi hii sikuizi inaendeahwa Kwa woga Wa matamko, acha niangalie muvi inayoendelea
Umesoma na kuelewa content ya ile barua? Na aliyetoa tamko ni Tanesco au Ewura? Jamani najua mnataka kuonekana maGT lakini msilazimishe hoja mbovu kuonekana za maana.Sasa ndo maana nkakwambia una akili ndogo sana na hujui kitu Muhongo alitakiwa kumuandikia Barua Tanesco sababu ndo ipo chini yake na si ewura sababu ewura wapo chini ya wizara ya maji na pia udhaifu mwingine kasahau kuwacopy Tanesco ambao ndio wahusika wakuu sasa unavyomwambia mwenzio ana IQ ndogo nashangaa kuona kumbe wewe ndo una akili ndogo hujui chochote muombe radhi jamaa
ewura wachumia tumbo wangefutwa au wangekuwa wanapewa ruzuku kutoka serikalin ili kuwabana! wanachezea ela zetu kwenye makato ya umeme na mafuta!EWURA haiko chini ya wizara ya nishati na madini, Bali ipo chini ya wizara ya maji na umwagiliaji.
TANESCO ndo ipo chini ya wizara ya nishati na madini. Je, kama ewura imekubali ombi la TANESCO la kupandisha umeme hata kama Muhongo hakuwa na taarifa, ni sahihi Muhongo kuwaandikia barua ya katazo badala ya kuwa andikia barua hiyohiyo TANESCO akiwataka wasitekeleze ongezeko hilo?
Lakini je, mbona hakuwa cc wizara ya MAJI, ambao ndo bosi wa EWURA?
Ebu soma Kifungu cha 17 na 19 cha Sheria ya EWURA - http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/EWURA-Act-Cap-41_sw.pdfEWURA haiko chini ya wizara ya nishati na madini, Bali ipo chini ya wizara ya maji na umwagiliaji.
TANESCO ndo ipo chini ya wizara ya nishati na madini. Je, kama ewura imekubali ombi la TANESCO la kupandisha umeme hata kama Muhongo hakuwa na taarifa, ni sahihi Muhongo kuwaandikia barua ya katazo badala ya kuwa andikia barua hiyohiyo TANESCO akiwataka wasitekeleze ongezeko hilo?
Lakini je, mbona hakuwa cc wizara ya MAJI, ambao ndo bosi wa EWURA?
Acha uongo wewe. Kama hujui nenda kasome uelewe. Ewura ipo chini ya wizara mbili tofauti. Na Ewura inatakiwa kuwasilisha report yake ya mapendekezo iliyoyaridhia kwa waziri mwenye dhamana kabla hawajayatangaza. Ewura hawajafanya hivyo.Wewe ndo una akili ndogo hujui chochote kisheria Muhongo hana mamlaka hayo Ewura ipo chini ya wizara ya maji na hata hiyo barua Tanesco hawajakopiwa wakati wao ndo wahusika wakuu
Ebu soma Kifungu cha 17 na 19 cha Sheria ya EWURA - http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/EWURA-Act-Cap-41_sw.pdf
swali lingekuwa je Waziri ana mamlaka hayo ya kusitisha maamuzi yaliyofuata taratibu za EWURA. Kama ni hivyo basi nafikiri pale kwenye ushindani itakuwa na kasoro sana kuruhusu Waziri mhusika wa EWURA na Mawaziri wa sekta kuingilia maamuzi!
Zamani ewura ilikuwa chini ya wizara ya nishati na madini baada ya hii wizara kuelemewa ewura ikaamishwa ikawa chini ya wizara ya maji sasa nashangaa unavyosema ewura ipo chini ya wizara mbili hivi upo serious au unatania ndugu? ?halafu si lazima kucomment sana kama kitu hujui ni heri usome upite kuliko kuona na wewe umeandika kitu nimeamua kukufungua akili ndugu yanguAcha uongo wewe. Kama hujui nenda kasome uelewe. Ewura ipo chini ya wizara mbili tofauti. Na Ewura inatakiwa kuwasilisha report yake ya mapendekezo iliyoyaridhia kwa waziri mwenye dhamana kabla hawajayatangaza. Ewura hawajafanya hivyo.
Ebu jaribuni kutumia akili zenu jamani.Kisheria Waziri mwenye mammals na Ewura ni waziri Wa Maji na Muhongo hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya mdhibiti..he was suppose to send it to TANESCO.. Kisheria amekosea ila Kwa sababu nchi hii sikuizi inaendeahwa Kwa woga Wa matamko, acha niangalie muvi inayoendelea
Ninahisi waliopeleka ewura kwenye wizara ya maji kidogo halmashauri yao ya kichwa haikua sawa ilipinda kidogoMkuu thesym naomba unielewe, hapa natafuta mamlaka aliyonayo Muhongo kwa ewura. Siungi mkono upandishaji gharama za umeme. Je, ikiwa ewura watakomaa, Muhongo analo LA kufanya? Kumbuka tanesco mpaka sasa haijapata maelekezo yoyote kutoka kwa Muhongo