Recent content by mmakinitz

  1. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

    Hii ni ishara ya mambo makubwa yapo njiani yanakuja. Yajayo yataifanya regime hii inyooshe mikono juu kwasababu hali ya kiuchumi Itakuwa mbaya kupita kiasi na kwasasa hakuna uwezo wa kutegemea tu makusanyo ya kodi ya ndani kuendesha nchi. Serikali imeishiwa, mfano, ndio sababu siku chache nyuma...
  2. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

    R. I. P mzee Jengua.
  3. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

    Wairak a.k.a wambulu ni noma.
  4. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

    Baadhi ya wanaume wapo humble, hasa wenye hofu ya Mungu na wanaojua maisha yakoje. Tatizo kubwa lipo kwa upande wa wanawake, aisee wengi ni wajuaji, wanafiki, kupenda kujisikia n.k. swala la uhuni wahaya naona pia wanalo tena kwa jinsia zote.
  5. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    Serikali ya sasa wanachoangalia ni mapato tu, athari na mambo mengine hawajali. Kwa kifupi kila kitu kinafanywa kisiasa.
  6. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    Very true
  7. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

    Huu mpango utashusha sana mapato ya utalii na kuharibu mazingira, Hamisi Kigwangala aliukazania sana lakini kuna ofisa mmoja wa TANAPA aliupinga hata January Makamba akiwa waziri wa mazingira alionyesha kuupinga kwasababu alisema itabidi kwanza NEMC wafanye tathmini. Kigwangala huwa anajiona...
  8. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Haji Manara

    Ingawa ni maisha yake binafsi, lakini jamaa angefanya harusi bila hata mbwembwe.
  9. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Haji Manara

    Wanawake wengi wa kiislamu wanapinga uke wenza lakini huyu sister mwanzo alionyesha kumuunga mkono mumewe kuongeza mke, pengine labda alisema vile ndo haya maisha ya kuigiza ya kwenye social media au kuna sababu nyingine iliyosababisha ndoa kuyumba.
  10. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Haji Manara

    Huyu sister aliachana na yule mumewe?
  11. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Haji Manara

    Nilikuwa najiuliza mbona kama Haji siku za nyuma alishampost mkewe Instagram, kumbe kweli alishawahi kuwa na mke, naona waliachana.
  12. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na Maalim Seif, waambieni ukweli wanachama wenu kuwa makamu wa kwanza ni mweupe, hana mamlaka yoyote

    Hii ni kweli kabisa, anakuwa ni ceremonial vice president.
  13. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa manispaa ya Morogoro

    Nimemkumbuka huyu jamaa kitambo sana, awamu ya tatu ya serikali mwishoni mwishoni ndio alikuwa kwenye peak na kampuni yake ya TIOT, wakati huo pia wana timu ya soka ya Moro United, Maulidi Kitenge akimuhoji kwenye kipindi cha michezo radio one anamtambulisha kama "Merey Balhabou Abramovich"...
Back
Top Bottom