Recent content by MM3

  1. MM3

    Nauza flat tv sony bravia inchi 32 original kwa bei poa na maelewano yapo

    *TV ya Sony Bravia inauzwa *Ni TV ya inch 32 *Bado ipo kwenye Warranty ya miaka miwili *Ina Box lake pamoja na risiti zake *Haina scratch/mikwaruzo ya aina yoyote ile *Haina tatizo lolote lile infact ni mpya na ni TV Original Inauzwa kwa 500,000 na maelewano yapo. Bei yake ya dukani ni...
  2. MM3

    Nauza flat tv Sony Bravia inchi 32 original kwa bei poa

    *TV ya Sony Bravia inauzwa *Ni TV ya inch 32 *Bado ipo kwenye Warranty ya miaka miwili *Ina Box lake pamoja na risiti zake *Haina scratch/mikwaruzo ya aina yoyote ile *Haina tatizo lolote lile infact ni mpya na ni TV Original Inauzwa kwa 500,000 na maelewano yapo. Bei yake ya dukani ni...
  3. MM3

    Nauza flat tv sony bravia inchi 32 original kwa bei poa

    Mambo vipi wapendwa kuna TV BRAVIA ya Sony ipo ndani ya warranty, ni flat new model inch 32 imetumika kwa muda mfupi sana. Haina mikwaruzo ya aina yoyote ile,infact ipo kwenye hali nzuri sana, ipo ndani ya box lake, ina risiti zake. Inauzwa kwa bei ya kutupwa ya 500,000. mwenye uhitaji nayo...
  4. MM3

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Mtwara idara ya sekondari. Mwenye uhitaji anitafute 0717502656
  5. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Unge highlight sehemu ambayo niliteleza ningekuona wa maana sana kuliko kuongea kejeli na dhihaka. Nadhani hapo ndipo tunapoona ni nani mgonjwa wa akili kati yangu na wewe
  6. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Jamani, yani watu wengine wana mawazo ya ajabu kweli. Hapo maswala ya ubunge yanaingiaje?? Asee mimi siwezi na sitokaa niwaze kugombea nafasi yoyote ile, na kwa taarifa yako mimi huku sio mzawa nilikuja kwa maswala ya ajira baada ya kuchaguliwa na serikali. Naamini wapare wananafasi ya kumchagua...
  7. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Nashukuru kiongozi kwa maneno yako ya hekima
  8. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    MM ni kifupisho cha majina yangu, na 3 ni namba tu kama namba nyingine. Mtu hazuiwi kutumia Id anayopenda yeye kwa kuzingatia taratibu za jukwaa
  9. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Hapo kwenye vitisho ndipo ambapo napenda wengine wapatilie mkazo. Huyu ni nani katika nchi hii anaesema nitang'oka!! Anyway mimi nilisema hapo juu, kazi yangu siiogopi naiheshimu. Ninaposema kuiheshimu ni pamoja na kufuata taratibu za kazi tulizokubaliana na mwajili wangu pia bila kuvunja kanuni...
  10. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Nimeshatolea ufafanuzi tangu mwanzo, ningekuwa na nia ya kuuza sura ningekuja na Id yangu halisi. Nisingekuwa na sababu ya kuficha Id yangu. Ningeweka jina langu na mahala ninapofanya kazi
  11. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Nashukuru kiongozi, nipo makini na hilo
  12. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Siwezi kuwa objective katika kufundisha. Nadhani ww sio mwalimu na pengine huwezi kuzifahamu changamoto za darasani. Wakati mwingine unaweza kuulizwa swali sio katika siasa tu bali hata katika maswala mengine ya kijamii. Katika hali ya namna hii unahitajika utulivu wa hali ya juu wa akili ili...
  13. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Ningependa ieleweke kuwa kuwashirikisha wanafunzi wale hakukuwa na maana kuwa nawauza ili kwenda kufanya nao uchafu. Kilichokuwa kinafanyika ni kuandaa mazingira ya kumtia nguvuni mwalimu aliepanga ile mipango michafu ili ukweli upatikane. Kwanza alikuwa amenishirikisha katika kitu ambacho ni...
  14. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Naelewa kuwa mnanifahamu, na muda wowote mkinitaka mtanipata. Lakini nnachotaka uelewe ni kwamba zama za woga zilishapita
  15. MM3

    Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Nadhani ni busara kumuita mwalimu alienishirikisha kuwa ndiye mzinzi. Wanafunzi wale baada ya kuwashirikisha katika huo mpango niliwahakikishia kuwa wangekuwa salama na hakuna ambae angewagusa kwa maana ya kufanya nao uchafu. Lengo ilikuwa ni kumtia nguvuni yule mwalimu ili ukweli ujulikane
Back
Top Bottom