kama bunge linataka kuzuiwa kujadili wizi wa pesa za watanzania je serikali haioni kwamba inabaliki tuibiwe? je tukiingia barabarani mtatupiga mabomu? sasa kama hamtaki wezi wawajibike basi wekeni sheria iwe lukusa kuiba
kama ccm walifikili kumtumia kibalaka wao cheyo ndio watazima kiu ya watz kupata katiba watambue walijikoli vibaya. mapambano yyataanza hivi punde niko mwanza naandaa maandamano yasiyo na kikomo mpaka dodoma na kuwakamata wajumbe wote mpaka mahakamani wakaludishe pesa zetu wanazo...
mimi ni mfanya biashara wa mpesa hapa jijini mwanza mwaka jana nilivamiwa na majambazi wakachukua 19. m badae niliitwa polisi nikamtambua mtuhumiwa1 kesi ikafika mahakamani nikaitwa kutoa ushaidi.cha kushangaza mtuhumiwa yuko nje na kesi inaendelea nilipouliza wakasema alikua na kesi nyingine...
maccm yamezoea kukulupuka tu mwaka huu mtajuta kumjua kamanda lisu
ona sasa na hili zee zima hata halijui hoja nini linakulupuka tu nyinyi kama mngekua mnamheshim nyerere mngemchagua kikwete kua m/kiti wakati nyenyere alikua amemtosa!
hapa home baba mwenye nyumba ni gamba alipoona watu wote wamewasha itv akaanza kulalamka ooh sitaki makelele ya kushangilia. bila shaka leo magamba yatakata roho.
tatizo la nchi hii inawatu wenye mawazo mpauko kama wewe.yani wewe unaona ni sawa six na wenzake kuendelea kuliibia taifa kwa kitu ambacho hakipo! ok nyie endeleeni tu kujaza matumbo yenu kwa pesa zetu 2015 mtazitapika mbele ya mahakama ya umma
Inasikitisha na kustaajabisha sana jujua kwamba jambazi sugu kwa jina la Ramadhani Saidi AKA RAMA aliyekua anavamia vituo vya mafuta (sheli), maduka ya jumla na maduka ya M-PESA katika sehemu mbali mbali hapa inchini ameachiliwa huru na hakimu flani wa kike Mwanza.
Ramadhani ambae alikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.