Recent content by mlundilwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dawa Kinga ya UKIMWI iliyozinduliwa ni kwa ajili tu ya wale ambao wamepima na kugundulika hawajaambukizwa

    Sahihi Mkuu kikubwa ni kuacha uhuni hizi dawa bhana watatupoteza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Jirani kufungulia mziki sauti kubwa, nimfanye nini?

    Hahahaha [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Jirani kufungulia mziki sauti kubwa, nimfanye nini?

    Na Wewe washa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asante ya mzazi huwa ina maana kubwa sana kwangu

    Mtoa uzi hujadanganya tena mzazi hata umtumie Pesa ndogo paspo na yakutolea bado atakuombea ufanikiwe zaidi Sasa Njoo kwa demu hakuna Ahsante na Bado atasema haitoshi au mbona hujaweka ya kutolea MUNGU BARIKI WAZAZI
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Si ungeenda wewe mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Ndo wanakumbushwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Kabisa Kama mtu hajui bora kuwa kimya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

    Kwan unalazimishwa kukopa au ndo shida zetu zinatufanya Tuende
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Elimu ya ziada inahitajika pole na wale waruka njee kila week je? Duuuu wtz hatari mpe baiskeli yako aende nayo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    Uliihalibu mwenyewe bhana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka kuonana na Askofu Kakobe sakata la uhamiaji

    Lakin Mkuu kuhojiwa mbona ni kawaida sana na wanamamlaka hiyo pale wanapo mtilia mtu Shaka hata Wewe hapo Unaweza kuitwa tu Mkuu ukathibishe uraia wako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku

    Apo umenena Mkuu
Back
Top Bottom