Recent content by MLUMENDAGU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Hiyo sio hoja kwani ulitaka awe masikini? Nia ya kila mtu ni kupambana na umasikini ili tuishi maisha mazuri au uliitaji kiongozi anayelia kuwa masikini kila siku? Hebu jiulize tanzania kuna matajiri wangapi sasa nashangaa kwanini utajiri wa lowasa ndo uwe gumzo au yeye anamiliki hisa zote za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kioo tuelekeacho

    Kuhusu ufisadi mimi siutambui coz fisadi ni lazima ashitakiwe so unapomuita mtu fisadi na hakuna kesi yeyote anayoshitakiwa unamaanisha nini? Usiongee kwa ushaabiki lete vielelezo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kioo tuelekeacho

    Lowasa ni kiongozi wa kuigwa ndani na nje ya chama kwani pengo lake limeonekana tangu alipoachia madaraka mambo yamekuwa yakienda ndivyo sivyo na hakuna kiongozi wa kukemea mambo na kuyatafutia ufumbuzi,,,, zimebaki ahadi za kisiasa zisizo tekelezeka,,,,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

    Hakuna wa kumzuia lowasa kwani watanzania ndo wanamuhitaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili kauli hii ya Nape na hatma ya Lowassa ndani ya CCM

    Huyu nae hana jipya wivu ndo unamsumbua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Lowassa wahaha na kutumia 4U fake kumchafua

    Mtachora chini,,,,,lowasa ndo raisi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

    Huna jipya kanywe mnazi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Vivaaa lowasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

    Msichukulie hoja ya mwalimu kumchafua lowasa hakuna mahali mwalimu kamkashifu lowasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

    Huo ufisadi wake ni upi? Naomba kueleweshwa maana sijaona hatua yeyote kwa aliyetoa tuhuma na kuzifikisha mahakamani,,jamani mjue kutofautisha kati ya chuki za kisiasa na mambo muhimu mie naona lowasa ndo kiongozi anayetufaa watanzania wala hakuna mwingine,,nasema hivyo sio kwa kufuata mkumbo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Nchi ilipokuwa njiapanda kwanini ulikaa kimya?

    Uwe unaongea kwa facts sio unaongea tu ili kumchafua mtu kisa hana mpinzani nafikiri unapomtuhum mtu lazima achukuliwe hatua sa sijawahi sikia mh kama kweli alichukuliwa hatua za kisheria hii inanifanya niamini kuwa lowasa hana kosa coz angelikuwa ameshiriki hao waliomtaja wangemchukulia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

    Hii ni dalili tosha kwamba hakuna kiongozi imara na anayekubalika zaidi kwa wananchi licha ya wagombea wenzake kukosa sera na kuanzia kutumia jina la lowasa kama sera zao katika kutangaza nia kumbe hawajui wanajikaanga wenyewe kwa mafuta
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yakinifu kuhusu wagombea urais

    Makundi ni kawaida
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yakinifu kuhusu wagombea urais

    akapumzike hana ushawishi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa waingia Tabora, Wananchi wauzuia ili kusalimiana naye

    Anavunja sheria zipi?huwezi zuia mafuriko kwa tenga ni wazi kuwa lowasa ndo kiongozi stahiki mwaka ujao..........kama unachuki naye hizo ni zako binafsi
Back
Top Bottom