Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

unapozungumzia ufisadi wa lowassa unatakiwa uweke bayana ni shilingi ambazo amechukua na ushaidi wake na ukumbuke kamati ya mwakyembe hajawai kuweka ushahidi wowote zaidi ya kutumika kisiasa tu

Well said Mkuu... Kudoz
 
akamalizane na picha zake za gesti....halafu akalipe na bill za kwenye magrocery...halafu bado kesi za malezi ya watoto wake wa nje zitafunguliwa kwa kasi ya umeme punde si punde

Hahahaha hatuwezi kumpa nchi mtu mzinzi na mlevi kupindukia....
 
Kosa lake ni kuwa fisadi na kutetea mafisadi wenzie.ebu ona cheni iliyoko nyuma yake,chenge rostam na karamagi hakika tutauzwa tukiwa wazima.say no to lowasa
Inawezekana ufisadi ukawa ni kosa kwa wananchi wengine lakini siyo wanaCCM.

Kama ni fisadi, kwa nini CCM hawajaachana naye katika kukijenga chama?.
 
Makosa ya Lowasa ni juu ya wananchi siyo ccm. yeye na ccm yake mwaka 2007/2008 walii ngiza nchi gizani mwaka mzima hatuna umeme.wakafanya biashara zao wanazozijuwa.hatuwataki tena watu hawa nchini kwetu.walizokula zinatosha.
 
nADHANI MAKOSA YA eDWARD LOWASA NI UTENDAJI WAKE ULIOTUKUKA

ccm imekuwa ikijibeba na itikadi yake ya uwizi, ahadi hewa, utekelezaji mbovu wa ilani, but only Lowasa anasimama kinyume na hiyo kitu

sasa viongozi wenzie ndani ya ccm ambao wamezoea ubwanyenye wanatokea kumchukia.
 
Huo ufisadi wake ni upi? Naomba kueleweshwa maana sijaona hatua yeyote kwa aliyetoa tuhuma na kuzifikisha mahakamani,,jamani mjue kutofautisha kati ya chuki za kisiasa na mambo muhimu mie naona lowasa ndo kiongozi anayetufaa watanzania wala hakuna mwingine,,nasema hivyo sio kwa kufuata mkumbo bali Nimeona utendaji wa mh akiwa madarakani
 
Lowasa anaogopwa kitten dak maana hanaga mzaa na viongozi wabovu wanaosinzia sinzia ama wanaojibweteka
 
Huyu bwana mkubwa ana lipi la ziada ukiacha hili la mtoto wa baba wa Taifa.

Hana tuhuma za ufisadi, rushwa wala uhujumu uchumi kwa namna yoyote Ile. Na zaidi hakua kwenye system ya "uchotaji." itakayomaliza muda wake soon
 
Lowassa = Mavi (Kinyesi) Ikishindikana tutamnyang'anya haki yake ya kuishi. Yeye ana hela sisi tuna Bunduki, risasi na watu. Tutaona maana tumechoka kuibiwa. Anang'ang'ania kuzimu.
 
Back
Top Bottom