Recent content by Mlume Ndago

  1. Mlume Ndago

    Nafasi za Kazi - Security Guards

    Mshahara bei gani?
  2. Mlume Ndago

    Kila aliyegombana na Nyerere alikuwa na usaidizi wa wazungu

    Mkuu usibishane na binadamu asiyekuwa na kichogo Wengi wao jamii ile hawapo timamu
  3. Mlume Ndago

    Kila aliyegombana na Nyerere alikuwa na usaidizi wa wazungu

    South Africa ilivyopata uhuru na Nelson Mandela alivyoachiwa huru na kupewa nchi, sio tu alikuwa nao karibu Wazungu, Bali aliwaacha katika uchumi wao,madaraka na baadhi ya nyadhifa wala hakuwafukuza waliishi pale vizazi na vizazi mpaka leo. Angalia maendeleo ya South Africa halafu nitajie nchi...
  4. Mlume Ndago

    Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Bro! umemaliza kilakitu na huu ndio uhalisia
  5. Mlume Ndago

    Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Kashindwa marehemu Brigadier general Kimbau tena yeye ni mzawa wa kule na eneo lake lipo pwani kabisa
  6. Mlume Ndago

    Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Brother huyu jamaa inaonekana kwanza mafia anaiskia tu hajawahi kuishi wala kukaa, kuhusu kupata eneo ni rahisi na gharama zake nafuu, na hakuna utalii huo kama anavyofikiria, kwa ufupi mafia bado sana, ni wilaya inayojivuta mnoo, hata hiyo car wash na hicho chuo ni kupoteza pesa tu, watu wa...
  7. Mlume Ndago

    Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Mimi nimeishi mafia naijua vizuri sana na nimefanya Mwambie huyo jamaa ako aache kukuongopea. Kama anataka kuwa sehemu ya connection katika hiyo biashara basi akueleze ukweli. Mimi Mafia naijua nimetembea maeneo mengi na nimefanyakazi ya uvuvi huko.
  8. Mlume Ndago

    Natamani hata turuhusiwe kuanza maandamano usiku huu

    Mwalimu Nyerere na wenzake wangekuwa na akili kama zako, tanganyika hii tungekuwa bado watumwa mpaka sasa
  9. Mlume Ndago

    Kujiunga Telegram lazima ulipie siku hizi?

    Nikishalipa hiyo mara moja ndio basi au kila mwezi wananichaji?
  10. Mlume Ndago

    Kujiunga Telegram lazima ulipie siku hizi?

    Naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye kujua
  11. Mlume Ndago

    Kujiunga Telegram lazima ulipie siku hizi?

    Habari wapendwa wa jamiiforums, Naomba kuwauliza kwa mwenye kufahamu kuhusu application ya Telegram. Zamani nilikuwa natumia hii Application bila shida yoyote lakini nikaja kuifuta. Sasa kwa siku hizi za usoni kila nikijaribu kujiunga inaniambia nilipie elfu tatu (Tsh 3,000) Sijajua ni...
Back
Top Bottom