Hawezi kukemea kama alivyofanya kwenye utawala wa jk. Kwasababu sasa hivi wao kila kitu wanachotaka kutoka serikalini wanapata bila shida yoyote na wala hawahojiwi na mtu. Ndoomana hujasikia hata siku moja kanisa likilaani mambo yanavyokwenda kwa sasa.
Na kama unakumbuka ni lazima aseme hivyo...
Jamani muombeeni Jerry muro apate kazi hapo alipo analala na kuamka akiamini siku moja atakuwa mkuu wa wilaya. Muuombeeni sana leo anajibanza kwa bashite au hata hili hamjui jamani.
Kumtukana huyu jamaa ni kosa kubwa la jinai kwasababu ufahamu wake uko chini sana. Na ndoomana ccm inashinda chaguzi nyingi kwasababu watu kama hawa wako asilimia 98 ya nchi kwanini ccm isishinde uchaguzi???
Kama kila siku wanamuombea rais kwa kuamini kuna siku wataamka kama bakhressa au kuamini...
Kama hili sio kosa letu kaka. Ndio watanzania tumetengenezwa hivyo tuna miaka kama 1500 kupita kwenye uzezeta huu. Watanzania wametengenezwa kwamba uzalendo ni kuwa mjinga, kuitikia, kusema uongo, kushabikia uongo. Ndoomana huwa nawaaambia mama wa kambo kwamba kwanini huwa wanawatesa watoto...
Tatizo kubwa la nchi yetu rais anatetewa kwa dini yake, kavila lake na chama chake.
Rais wa Tanzania hawezi kukoselewa na mpinzani labda mpinzani asiwe mtanzania ndio wanachama wa chama chake wanaamini kweli kakosea.
Pili kama rais ni mpagani basi wapagani wake wakimkosoa ndio kweli rais...
Ukiona mungu kakuchagua kuwa kiongozi Tanzania basi hujue mpaka siku ya kiama atakuchagua. Kwasababu kuwaongoza Tanzania ni rahisi sana kuliko kunywa chai au kukojoa.
Unaongoza kwenye nchi ambayo wastani wa uelewa wa watu ni asilimia 2% sio bahati hiyo na dalili ya kwenda Peponi.
Sent using...
Ni kweli watanzania kabla ya kushangilia kauli za JPM huwa wanafikiri na kutafakari kwa kina????
Mh spika wakiendelea kukusumbua huko bungeni watoe nje wakija huku wanakutana na mimi alafu watakiona cha moto. Watu hao unaotaka wafukuzwe bungeni ndio walipaza sauti kwa hiki ambacho leo yeye...
Pole pole ananifurahisha sana yaani hapo namuona kabisa anavyoweka ile mikono yake ya uongo lakini leo ana washabiki wake Tanzania.
Hongera sana kwa kupigania tumbo lake mungu hambariki.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Toka tumeanza kumwita lowassa nchi hii fisadi kila kashfa ya wizi ikiibuka lowassa hayupo.
Lakini kwasababu tuna bahati mbaya watanzania kutoka kwa mungu kwa kunyimwa ufahamu na uelewa, juzi rais wetu manake ni malaika kasema tumeibiwa kwenye madini aliyesaini hii mikataba ni Yule aliyesema...
Wamemfuata ndugu yao manake siku hizi kila ukikutana nao wanaongea kilugha. Mimi nafikiri wabaki huko huko hata akija rais mwingine. Manake watu wote mnaotokea kanda ya ziwa kuwa upinzani ni kama dhambi kwa miaka 10 hii.
Sasa muhakikishe yote mnayoahidiwa mnayapata kabla ya mwaka 2025 Msije...
Sio kwamba ana gundu hili ni tatizo la nchi yetu yaani mtu anashindwa kabisa kujitambua uwezo wake na thamani yake.
Kwahiyo anachofanya anakuwa kama kuku wa kienyeji ni lazima achakue jalalani hata kama uwezo wa kukaa ndani ya banda na chakula kikaja bado hataki.
Hivi leo uzuri wa wema na wolper...
Jiulizeni swali moja tu kasoma shule gani mpaka kafikia hapo??? Alafu leo unashangilia kitilya kuwa rumande swali je watoto wa kitilya wanafanana na wako??? Au wameshaanza kuomba mjini???
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.