Recent content by MLUGURU

  1. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Hongereni MAT kwa kusimama na Mwanataaluma Mwenzetu; Afande Muliro ameudanganya Umma

    Sema kibongo bongo ukiwa na kibunju unadharaulika sana,lingekuwa subanga sjg sijui kama angethubutu kuchomoa funguo kama kamkamata bodaboda vile. Mwamba alikuwa na haki ya kubalamaki hapa mazarau yalizidi Hata kama sio kuchomoa funguo ila namna yoyote ya dharau ile hapa naongelea
  2. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Hongereni MAT kwa kusimama na Mwanataaluma Mwenzetu; Afande Muliro ameudanganya Umma

    Sema kibongo bongo ukiwa na kibunju unadharaulika sana,lingekuwa subanga sjg sijui kama angethubutu kuchomoa funguo kama kamkamata bodaboda vile. Mwamba alikuwa na haki ya kubalamaki hapa mazarau yalizidi.
  3. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Mafisadi pia wanasafishia pesa zao Dodoma, inflated real estate

    Kuwa mpole mkuu pengine wanaisaidia kujenga serikali ya badae nyumba za watumishi wake na ofisi
  4. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    City life is not for everybody
  5. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuishi Mbeya karibu na baa iliyokuwa kijiwe cha matapeli. Haya ndio maisha yao zikiwemo familia zao

    Juzi nilikuwa kijiji kimoja ndichi huko nkamuokoa msichana mmoja kutapeliwa mana aliambiwa katumiwa pesa KCB kutoka dubai. Nkamuuliza wewe una ndugu dubai wa kukutumia pesa huku kijijini? Sema nilitumia nguvu kubwa sana maana kumshauri mtu anaekaribia kutapeliwa ni kazi kubwa sana.
  6. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Supu ya nguruwe

    Kama upo dar mkuu tembelea kijitonyama mkabala na ofisi za ACT utanishukuru
  7. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Mkulima ukifanikiwa kupiga hela jitahidi uwe na mradi hata mdogo wa kukupa pesa ndogondogo kila siku

    Tuhimizane tulime mazao ya kimkakati haya ndiyo mazao yatakayoondoa au kupunguza umaskini.
  8. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    Tunza tu afya mzee piga mazoezi mengi na jenga misuli ya kutosha hiyo 70 itakukuta bado unakimbiza VW au JETOUR kama mwehu barabarani ukiikata kitonga kuelekea mafinga kuuza miti yako kwa wachina hapo ukiwa umetoka korogwe kuuza mkonge huku simu za wadau wa korosho mtwara zinaita. Mambo ya tv...
  9. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

    Huyu mjomba namkubaligi sana sio mtu wa kurudi nyuma,nikikumbuka lile vagi lake pale dodoma 2015 naishia kutingisha kichwa tu.
  10. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    Huo umri mwanaume unabaki nyumbani kufanya nini,mwanaune aliejipanga yuko mikoani huko anasimamia miradi nyumba ishapata wasimamizi rasmi ambao ni hao watoto uliowakuza. Hapo ni kupiga route mikoani mashambani huko kwenye miradi mbalimbali.
  11. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwekeza kilimo cha cocoa Tanzania

    Muheza mkuu
  12. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Kwa mwanamke tabia zinabadilika kisichobadikika ni usingle maza tu.
  13. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

    Kwanza una bahati mpaka wamekwambia kuwa watajenga mnara....kuna mzee alitoa hati bure akiambiwa wanajenga msikiti kumbe mnara.
  14. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

    Mkuu humu JF zipo nyuzi nyingi sana zinazowahusu hao jamaa. So usitishike na matambo yao.
  15. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

    uzi upo humu wataalam wataufukunyua,jamaa ilifika siku yake ya kutoa kafara ni kama alikuwa ajajiandaa/ajaiandaa so akaanza kubet kwa watu waliomzunguka lakini ikawa aitoshi mpaka alipoamua kujilamba shaba yeye mwenyewe. Na yeye before alikuwa na hilo hilo life la kiturist kuzunguka dunia nzima...
Back
Top Bottom