Recent content by mlude-go

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini mchango wa BVR katika uchaguzi huu?

    naomba ufafanuzi kiasi mkuu tyta
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini mchango wa BVR katika uchaguzi huu?

    Sijapata kuona tofauti ya matumizi ya kitambulisho cha kupigia kura cha 2010 na hiki kitambulisho cha BVR,kimatumizi ktk uchaguzi huu na uliopita taratibu ni zile zile,wakuu naomba kujuzwa nini MCHANGO iliyopatikana kwetu ktk BVR? NB:- Hakika hii tenda imetembea na mkwanja mrefu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    wewe ni boya hujasoma vizuri madai ya mtoa mada
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Star TV na Dr. W. Slaa wamevunja kanuni za TCRA?

    nashangaaga sana Slaa alikuwa anayapinga haya leo hii yeye ni mfuasi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Jinsi ya kumnukuu mtu JF kwa rangi

    search kuna nyuzi zinaelekeza jinsi ya kufanya halaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania market nyingine za simu za adroid hizi hapa

    safi sana wakuu ntazifanyia kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania market nyingine za simu za adroid hizi hapa

    waungwana habari zenu pia poleni kwa shughuli,msaada wenu tafadhali naomba kupatiwa na kusaidiwa vyanzo vya kupata application nyingine ukitoa hii ya playstore, mfano Mimi Nina mobo market, blackmart basi hivyo basi naomba mnipatie market nyingine. asante kwa msaada wenu nawasilisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    kichwa chako ni mzigo unaupatia mwili wako taabu kukibeba kichwa kikubwa kisicho na ajili tunajua mmepangishiwa nyumba pale ukonga kumchagua ENL tupo njiani kuja kuwatoa hapo nduki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimetembea, tembea Jamhuri ya Tanzania katika vyama nane, sijaona Kiongozi bora kama Dkt. Magufuli

    huyo mtanzania akimfuata JF member sio mkumbo? unahatari wewe kabla ya 25 Oct mtatoka hapo upanga mlipo pamgishiwa nyumba
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nimfanye nini Huyu mwizi mchanga wa Mtandaoni ambaye anachipukia

    sasa mbona hamjasaidia wakuu? mpeni mawazo nadhani ndio dhana yake kuja hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukawa, janga la umeme mnalichukilaje kwenye ajenda zenu za kampeni?

    ndio hivyo hili ni kete la ukawa kwa ujumla maana hakuna namna nyingine tena.watanzania tuliangalie hili kwa upeo mpana sio kushabikia hapa kazi tuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa hawezi "Magufulika"

    kupiga push up kwa mfanya magufuli kushindwa kuendelea na kampeni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya micro sd card na ufumbuzi wake ni hapa

    mkuu chief-mkwawaimeandikwa micro sd card HC made in taiwan mkuu muangila hizo card slot si zinapelekea memory card isiweze kusomeka kabisa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya micro sd card na ufumbuzi wake ni hapa

    wakuu habari zenu,napenda kuleta ka uzi haka kwenu ili nipate mualobaini wa matatizo haya yahusuyo sd card.ninatumia simu huawei y 530 pia nina sd card 8 GB,tatizo ni kuwa nasumbuliwa sana na setting pindi niwekapo sd card as default inakubali lkn ninapoendelea kutumia baada ya muda yaweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa alimuhofia Magufuli tangu 2005

    wewe ni mmoja wa watu waliopangishiwa nyumba pale upanga,sasa mnafmika vizuri kwa kueneza propaganda mitandaoni,tunakuja hapo
Back
Top Bottom