Lowassa hatukuwa rais kwasababu

Lowassa hatukuwa rais kwasababu

Hovyo kabisa! Ukawa wengi wenu sijui mtapanuka kifikra lini?

kichwa chako ni mzigo unaupatia mwili wako taabu kukibeba kichwa kikubwa kisicho na ajili
tunajua mmepangishiwa nyumba pale ukonga kumchagua ENL tupo njiani kuja kuwatoa hapo nduki
 
Usiseme hatakuwa rais....sema hutampigia kura...tutamchagua hivyo hivyo,bora tumchague mtu wa visasi kuliko kuichagua tena CCM.over our dead bodies!!

mashabiki wanasema ''tuajua hana uwezo wakuongoza nchi lakini tutamchagua hivyohivyo.''
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

Katika fasii mwandishi anapokosea title kama kwenye beautiful one are not yet born ..inamaanisha sasa wewe title yako sijajua kama ni slip of your fingers ar blain but i do asure you that it is a sleepness of your blain. Ccm ibaki madarakani tena hapana hapana hapana nakataa hatakama lowassa ana makosa nakataa kwa jina la yesu sitaki kuona sisiemu ipo tena hahahahaha hata kama ya magufuli ila CCM NI ILE ILE WATAISOMA NAMBA ✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌..CCM👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

HATIKUA????????? Seriously...............................................................................................

Hata Manabii na Mitume walikuwa hawaeleweki kwa watu kama wewe.
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

Nyie ndio mnaoirudisha nchi nyuma kimaendeleo na kiuchumi,ccm wamewatala fikra zenu
 
Attachments

  • 1443676299223.jpg
    1443676299223.jpg
    28.2 KB · Views: 124
Ni aibu kusema hafai wakati Rais wako aliona anafaa kua waziri mkuu na huyu mwingine akawe waziri wa samaki na wavuvi
 
Huna lolote jipya!
Tunajua huu mda wenu wa kwaya umeanza ili buku 7 isome!
Vyovyote vile! Kura yangu na familia yangu na 75% ya wanaomzunguka kwa lowassa! Am done

Inawezekana huna familia, na kama inayo basi na yenyewe pia ni goigoi kama ww mwenyewe, ni wachache wenye akili mbovu kama ww wanaosema watampigia Lowasa, na hawana sababu kama ww.
 
Kaa kushoto! Nishafanya maamuzi since!
Huna jipya

Huna maamuzi yeyote yale, kwani ww ni bendera fuata upepo, na siku zote watu walozoea kukaririshwa ndo hasara yake hiyo, naamini kwamba kama una familia basi unawalazimisha kufanya unachotaka ww, lakini pia naamini hawatofanya kama unavofikili ww, kwani kura ni siri ya mtu.
 
Hey you damage!
Why are you concern with?
Achana na mimi!
Whether he or not I have made up my mind! Hata iwekwe mait I will YES to him than the so damage CCM!
Kaa kushoto!
 
Na Lowasa huyo uliemsema ndie watanzania,makada wa ccm waliochoka uovu wa CCM...ndie wanaemtaka.Despite all the presumptiv weaknesses.

AFTER ALL THIS IS NOT HEAVEN,WE ARE NOT LOOKING FOR ANGEL.
Achana naLowassa. Huyo ni agano la kale. Tunahitaji Magufuli Agano Jipya
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

NAOMBA UNIJIBU AU UELEZEE YAFUATAYO

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
- KUONGOZA KWA KUTOFUATA SHERIA MAGUFULI NDO ANAONGOZA... KUMBUKA AMETUTIA HASARA TAIFA KWENYE WALE SAMAKI. ZILE NYUMBA ALIZOUZIA HADI WASIOHUSIKA KWA BEI CHEE HAKUFUATA SHERIA
- TAJA HIZO KONA AMBAZO UNASEMA AMEKUWA AKIIBA
- AMETUTIAS HASARA KWA KUBOMOA MAJUMBA YA WATU HADI WAZIRI MKUU AKAMPIGA STOP.. NA AMEWABOMOLEA WENYE VITUO VYA MAFUTA TUMELIPISHWA

2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
- HALI YA KIAFYA SI MBAYA KAMA MNAVYOISEMA.. INGEKUWA HIVYO JK ASINGECHAGULIWA MAANA ALIDONDOKA JUKWAANI.
- NA HUYO MNAYEDHANI KUWA NI MZIMA SI MZIMA KIHIVYO.. UNAWEZA UKANIAMBIA ALIKWENDA KWA BOBU KUNYWA KIKOMBE KWA UGONJWA GANI..??? BBC UMESIKIA JUU YA UGONJWA WA MOYO..??

3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
- MWONO WA KITAIFA AMEUONYESHA KWENYE ISHU YA MAJI, SHULE ZA KATA N.K

4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
-
KUSIKIA KUPO MARA MBILI... INAWEZEKANA MSIKILIZAJI NDO ANA ISHU. KAMPENI ZAKE WENGINE TUZISIKIE KASORO WEWE TU USIMSIKIE..?? UTAKUWA UNA ISHU
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.
- HADI AFANYE VISASI KWANI MMEMFANYA NINI..???
say YES to Lowassa.........say YES to Lowassa....say YES to Lowassa!!!!!
 
Hey you damage!
Why are you concern with?
Achana na mimi!
Whether he or not I have made up my mind! Hata iwekwe mait I will YES to him than the so damage CCM!
Kaa kushoto!
Wee unasumbuliwa na ukabila. Huna lolote kama unasema hata maiti utaipigia kura. Huna uelewa wa kutosha juu Nchi yetu na wagombea wetu.
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

Umetokea wapi ww? Baba yako anaitwa nani? Mama yako anaitwa nani? Soma alama za nyakati haya ni majira ya lowassa ongea mpk upasuke kazi bure tumeshamchagua lowassa tunasubiri trh 25
 
Wee unasumbuliwa na ukabila. Huna lolote kama unasema hata maiti utaipigia kura. Huna uelewa wa kutosha juu Nchi yetu na wagombea wetu.

Cha msingi na secondary kaa kushoto! Over! Mnaiiiiiiiiiiiiiiimba chorus zote hazina mashiko!

Mnapaka weeeeeeeeee! Matope ni yale yale! Achana na mimi!
 
Back
Top Bottom