Recent content by mlowe

  1. M

    baba wa kambo anasifa zipi?

    mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
  2. M

    majina ya wasichana

    majina ya wanaume ninoma hebu sikia hii'my kibuzi'my atm''my fataki'hehehe!how does it sound?
  3. M

    Intro

    Hodi wanajamii wote naomba mnipokee. Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi. Hongereni
Back
Top Bottom