baba wa kambo anasifa zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

baba wa kambo anasifa zipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mlowe, Jan 11, 2011.

 1. m

  mlowe New Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
   
Loading...