Intro

mlowe

New Member
Dec 9, 2010
3
0
Hodi wanajamii wote naomba mnipokee.

Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi.
Hongereni
 

fige

JF-Expert Member
Jul 4, 2010
376
0
karibu sana ni vema ukasoma maelekezo ya matumizi ya jamvi hili ili uweze kulitimia ipasavyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom