Alitumia muda mfupi kutokana na kupewa muda kidogo,maana alianza kuhutubia saa 11:36.ikiwa kwa muujibu wa sheria mwisho ni saa 12 ulitaka ahutubie dk ngap??
inawezekana kabisaa, mpaka mwaka jana wanafunzi walikua wananufaika na mkopo ni 97,348 ambao ni sawa na sh 300 billioni hakuna hata mmoja ambae amelipa mpaka sasa na mwaka huu idadi inaongezeka watasemaji haiwezekan? waende zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.