Recent content by mlokozi371

  1. mlokozi371

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Shida ni nyingi hasa ukilinganisha na raha
  2. mlokozi371

    Mkopo: Natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba

    Mil 5 labda kama una kitu cha kuweka lehani la sivyo itakuwa ngumu
  3. mlokozi371

    USHAURI KWA HII DIVISION 2 YA 21

    Nimekupata mkuu sema kuna ushauri nimeupata wanasema EGM iko poa nayo
  4. mlokozi371

    USHAURI KWA HII DIVISION 2 YA 21

    vipi kuhusu eca kuna uwezekano wakupiga hayo mkuu?
  5. mlokozi371

    USHAURI KWA HII DIVISION 2 YA 21

    ni combination gani ya maana ya kupiga ambapo Civics C,kiswahli C,biology C,math D,geography C,history C.commerce C,bookkeeping D,english C
  6. mlokozi371

    Msaada: Kuna uwezekano wa kusoma nje ya huu mji

    Mimi ni mwanafunzi ambaye nimehitimu fom 4 mwaka 2015 na nimefanikiwa kupata daraja la pili pointi ya 21. Post huku kwetu Zanzibar uwa tunapangiwa na wizara ya elimu na hutoka kwa kuchaguliwa shule za hukuhuku Zanzibar je? Kuna uwezekano wa mimi kusoma nje ya huu mji? Na ni hatua zipi nifuate...
  7. mlokozi371

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ni shule gani ambayo amemalizia? labda shule ndo imesababisha kwa binti yako kuanguka kimasomo
Back
Top Bottom