Mkopo: Natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,137
3,323
Habari za jumapili wapendwa, natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba na nina uwezo wa kumrudishia laki 2 kila mwezi. Pesa hizo zitanisaidia kununua kiwanja na pikipiki ili kunipunguzia kadha ninayoipata ya kutembea km 5 hadi ninapofanyia kazi( shuleni). Namba zangu 0679399344 kwa watakaoguswa.
 
Mil 5 labda kama una kitu cha kuweka lehani la sivyo itakuwa ngumu
 
Habari za jumapili wapendwa, natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba na nina uwezo wa kumrudishia laki 2 kila mwezi. Pesa hizo zitanisaidia kununua kiwanja na pikipiki ili kunipunguzia kadha ninayoipata ya kutembea km 5 hadi ninapofanyia kazi( shuleni). Namba zangu 0679399344 kwa watakaoguswa.
Mkuu ukimpata niinbox na mimi huyo mtu
 
Labda awe ndugu yako wa karibu mkuu tena kila mwezi unarejesha laki 2 mpaka umalize mkopo ni zaidi zaidi ya miaka miwili doooooh embu ona aibu kidogo mkuu upate kusaidiwa.
 
Habari za jumapili wapendwa, natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba na nina uwezo wa kumrudishia laki 2 kila mwezi. Pesa hizo zitanisaidia kununua kiwanja na pikipiki ili kunipunguzia kadha ninayoipata ya kutembea km 5 hadi ninapofanyia kazi( shuleni). Namba zangu 0679399344 kwa watakaoguswa.

nenda Benki za kiislamu wanakopesha bila riba mkuu
 
Nawashukuru wakuu kwa mawazo yenu. Mpaka sasa hivi sijafanikiwa kupata wa kunikopesha hicho kiasi
 
Habari za jumapili wapendwa, natafuta mtu wa kunikopesha Mil. 5 bila riba na nina uwezo wa kumrudishia laki 2 kila mwezi. Pesa hizo zitanisaidia kununua kiwanja na pikipiki ili kunipunguzia kadha ninayoipata ya kutembea km 5 hadi ninapofanyia kazi( shuleni). Namba zangu 0679399344 kwa watakaoguswa.
Huko sio kukukopesha ni kukuazima.
 
Back
Top Bottom