Msaada: Kuna uwezekano wa kusoma nje ya huu mji

mlokozi371

Member
Jan 29, 2016
7
1
Mimi ni mwanafunzi ambaye nimehitimu fom 4 mwaka 2015 na nimefanikiwa kupata daraja la pili pointi ya 21.

Post huku kwetu Zanzibar uwa tunapangiwa na wizara ya elimu na hutoka kwa kuchaguliwa shule za hukuhuku Zanzibar je?

Kuna uwezekano wa mimi kusoma nje ya huu mji? Na ni hatua zipi nifuate ili nichaguliwe shule za mikoani.
 
Back
Top Bottom