Recent content by mlimani pana mwanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi mapenzi yamenipotezea dira ya maisha

    Nenda kanisani, tubu dhambi zako, repent and seek forgiveness. God is able, alafu songa mbele
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

    sasa mbona wewe ni msweet?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 458 inayomkabili Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo yaahirishwa kwa kukosa ushahidi

    Hii kesi itayeyuka na kupeperuka soon.... magamba buana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

    Kuna watu wanajiona malaika ila maisha tunayoishi kila mtu anajua yake. Most people wana michepuko amini usiamini. Ni wachache waaminifu kwenye ndoa zao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

    Hili linatuhusu jinsia zote. Inawezekana umeshawahi kuchepuka au la. Lakini swali la msingi ni hili, kuna umuhimu wowote wa kumwambia mchepuko kama una mume au mke? Je ukimwambia madhara yake ni yapi na usipomwambia madhara yake ni yapi? Msije kusema nachekelea kuchepuka, but we live the...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anataka niweke status: 'Nakupenda mume wangu' kwenye WhatsApp, kuna maana yoyote ktk hili?

    Sasa kuna shida gani hapo? Kama ni mimi naweka, kwani mtu akisoma anajua ni mume yupi? mbona watu tunaweka dp kwenye whatsapp "I love You" alafu naweka na kale kaua kazuuuuuri. Kama nina michepuko yangu kila mchepuko atajua ni yeye. Kalaga bao
Back
Top Bottom