Recent content by Mlimandora

  1. M

    Ndugu,Yohana Pombe Magufuli ninavigezo ninaomba kazi!

    Hu Hukimaliza ????? Unapoponda jipange
  2. M

    Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

    Et katiba inasema mukurugenzi anatakiwa kuwa na elimu ipi
  3. M

    Kabla ya kuweka password kwenye sim fikiri kwanza; Yaliyomkuta huyu dada yaweza kuwa matatizo

    Mdogo wangu mm alipata ajali hvyo hvyo ya kugogwa na pikiki cha kushukulu siku hio hakuweka password toka hapo simu zake zote haweki password kwasababu endapo siku hio angekuwa ameweka password Leo tungekuwa tunaongea mengne anaitwa mtwa mkulu yumo humuhum jamii forum
  4. M

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Sasa kwann u Uzi upo Leo wkati ajali n ya mwak jana
  5. M

    Madereva wa Magari ya kusafirisha Magazeti wana roho ya Binadamu kweli?

    Kadangny nnhio sikama 130 kwa SAA kwa watu wa magazet n speed y kawaida kwao
  6. M

    Mwalimu wa Geography

    Nash Nashukulu sana kwa musaada wako Mungu akuzidishie baraka
  7. M

    Mwalimu wa Geography

    Nipo Mbeya kwa sasa
  8. M

    Mwalimu wa Geography

    Asente kiongozi
  9. M

    Mwalimu wa Geography

    Habarini wanajamii forum kwa Majina naitwa Shadrack Kitalika. Ni muhitimu chuo kikuu Teofilo Kisanji TEKU ngazi ya degree nimesomea BAED (bachelor of Arts with education) masomo yangu ni History and Geography Nilikuwa naombeni nafasi ya kufundisha Shule ya secondary popote pale Tanzania naahidi...
  10. M

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Mbey Mbeya mko sehem gani mkuu au mawasiliano yenu
  11. M

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Na ajira z walimu kmya Selection form five kmya Duhh afu wakadai tunazusha haya maswal kumbe n kweli
  12. M

    Msaada kuhusiana na hizi tecno c5 na c8

    jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
  13. M

    Wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa masomo waanza kujiuza...

    Hao wanafunz bac walikuwa hamunazo kufukuzwa siku moja ndo wakajiuze hakuna walimu hapo njia za kujiokoa zilikuwa nyng na si kukimbilia kujiuza hizo n akili fupi kabsa
Back
Top Bottom