Ninayo yaona humu ni makubwa mno.yani kumpapasa mwanamke jambo rahisi.yani hawa wadada wapo free sana. hawatak kuzingua maana wakileta ujeuri wateja wanahama kabisa.
Yaan kwao kushikwa kila sehemu n jambo la kawaida.
Ndoa imekuwa ni jukwaa la ukatili.ni jukwaa la mateso.ni jukwaa la maafa.ni jukwaa lilojaa uovu wa kishetani.kwa ujumla ndoa ni sawasawa na laana iliyojaa tabu.
Mimi sioi, sitongozi uzao wa kwetu unaishia kwangu hata kama hamna mtoto mwingine nyumbani sijali hata. sitaki nilete watoto dunia waje wateseke.mm sitak kuumizwa bora njipende mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.