Mkuu, asante kwa habari hii! Ila ningependa umtaarifu kijana Nape kuwa, muda ndiyo mwamuzi, na maji ndiyo hayo yameshamwagika, pengine abaki na chungu kilichobebea maji ambacho nacho kimesambaratika!
Heri tuikabidhi nchi kwa hao wahuni tuanze nao ukurasa mpya na tofauti, kuliko kuendelea...