Nape: Hatutakabidhi nchi kwa wahuni

Hii nchi haihitaji kukabidhiwa na mtu au chama chochote bali ITACHUKULIWA na CHADEMA . Nchi si faili wala kapu la machungwa bali ni watu kwa maana ya waTZ ndiyo watakao ikabidhi kwa CHADEMA ; Nape ni ENTITY he can hardly count on anything ni sawa na sisimizi mmoja kujaribu kuzui kundi la nyuki ku- occupy mzinga.

kwa Nape watanzania wapenda mabadiliko ni wahuni. Mafisadi na wezi wa mali ya umma ndo wazalendo
 
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Hii ni kumaanisha kwamba hata wakishindwa uchaguzi mkuu wa 2015, yaani wakishindwa na hao wanaowaita wahuni, hawatakuwa tayari kuachilia madaraka. Mpaka watolewe kwa nguvu kama Laurent Gbagbo.
 
Inaonekana bado hajajua maana ya NGUVU YA UMMA. Ukweli ni kuwa watakabodhi bila kupenda. Hawatakuwa na kufanya. mwambieni kuwa wakati ni ukuta, ukipigana nao utaumia bure.

AMA KWELI 'SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA'.

kuzuia matakwa ya nguvu ya umma ni sawa na kusuia upepo mkali kwa mikono. Nape kachanganyikiwa na anajipa moyo
 
Nape kwa nondo za uhakika na zilizonyooka nimekukubali. Right to the point. Imagine unamkabidhi nchi mtu anaezaa nje ya ndoa na kimada tena mke wa mtu, hata dunia itakushangaa.
 
Mie niliisha waambia humu ndani nchi haikabidhiwi kwa vikaratasi vinavyo tumbukizwa kwenye masanduku, ni zaidi ya hapo. Hicho ndicho wengi wenu hamjui na hamta kaa mjue hata siku moja

hebu tujuze inakabidhiwahe nchi mkuu,labda una mawazo tofauti,au ndo kwakumwaga damu niniii?
 
...Huo ni wendawazimu na kauli za kukata tamaa kwamba 2015 magamba hawana chao...Je, Kikwete, Pinda, CC na NEC ya magamba wanaiunga mkono kauli hii ya kutaka kuanzisha vurugu nchini!?...au huyu ameropoka tu bila kuwa na support yoyote ile ndani ya magamba?
 
Kazi kweli kweli !!!kwanini hawa wana magamba wanawaza na masaburi alafu kilasiku wanakunya akili chooni
 
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.

Mkuu, asante kwa habari hii! Ila ningependa umtaarifu kijana Nape kuwa, muda ndiyo mwamuzi, na maji ndiyo hayo yameshamwagika, pengine abaki na chungu kilichobebea maji ambacho nacho kimesambaratika!

Heri tuikabidhi nchi kwa hao wahuni tuanze nao ukurasa mpya na tofauti, kuliko kuendelea kutawaliwa na majambazi.....
 
Maneno haya yangetamkwa na kiongozi wa upinzani angeshaitwa Polisi kuhojiwa kwa kauli ya uchochezi.
Maana hii kama kweli kaitamka, ni kauli yenye lengo la kusababisha vurugu.
 
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Akishahamia CHADEMA atajuta hayo yote! Maana tunajua mwisho wa siku naye atakuja CHADEMA! Nyambafu zake!
 
Muhuni bb yake mzee nnauye aliyekufa hana hata kibanda akitapanya hela kwa wanawake masaburi yake.
 
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.

Huyu Nape ni kichaa na ndie anaekiharibu chama chake,nani kamuambia c.c.m ina uhalali wa kumkabidhi mtu nchi?nchi itachukuliwa na chama kingine pale wananchi watakapoamua,nchi si ya c.c.m wala si ya marehemu Nnauye,huyu nape amepelekwa mpaka India kusoma ila bado mbumbu kabisa!anachoweza ni kuropoka bila tafakari na kujipodoa/kujichubua tu
 
Muhuni bb yake mzee nnauye aliyekufa hana hata kibanda akitapanya hela kwa wanawake masaburi yake.

Kumbe mkuu unalijua ilo?nasikia hata msiba wake ulifanyikia kwa mzee Makamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom