Recent content by Mlengo

  1. M

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Unaweza kujificha kwenye kichaka cha kutoa elimu, alafu ukakuta umeharibu zaidi katika kupendezesha mada. Ukiwa na muda, naamini unao wakutosha tafakari juu ya uwezekano wako binafsi wa kumiliki hilo duka la viatu vya 100m Tshs ili utuuzie watanzania. haya mawazo ya ajabu sijui mnapata wapi...
  2. M

    Kuhusu upimaji viwanja

    Endapo jiwe litaama au kupotea unaweza kutafuta wataalam kwa kutumia vifaa na taarifa za upimaji wanaweza kurudisha mipaka husika( ufufuaji wa mipaka/ boundary restoration)
  3. M

    Kuhusu upimaji viwanja

    Endapo jiwe litaama au kupotea unaweza kutafuta wataalam kwa kutumia vifaa na taarifa za upimaji wanaweza kurudisha mipaka husika( ufufuaji wa mipaka/ boundary restoration)
  4. M

    Kuhusu upimaji viwanja

    Kama Upimaji shirikishi kuna baadhi ya changamoto kubwa ikiwa kumaliza kazi kwa wakati. Yawezekana kabisa eneo lako likawa lipo Sawa lakini wengine wakawa na changamoto kwenye maeneo yao. Hili upelekea kuwa na ugumu wa kutekeleza upimaji binafsi kwani yawezekana kukawa na mchoro mpya pendekezwa...
  5. M

    Kuhusu upimaji viwanja

    1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini? Beacon/ mawe yana maana ya kuashiria ukomo/mwisho wa eneo lililopimwa, yaaani ni mpaka 2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini? Namba ni kumbukumbu ya utambuzi wa beacons/mawe. 3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine? Ndio...
  6. M

    Kenya has the best of everything orally, but nothing on the ground really

    Mkuu hicho ni kiingereza kingi tuu ila sio utaalam. Teknolojia ambayo ilitumiwa kwenye ndege ilibidi iongezwe na ile ya miale ya sauti kwa kifaa cha “echo sounder”. Hauwezi kutafuta kitu ndani ya maji ya bahari au hata ziwa kwa mwanga wa kawaida. Mimi nilitegemea kusikia japo wanatumia...
  7. M

    Swali: Ni kwanini urefu wa milima unapimwa kutoka usawa wa Bahari?

    Ni rahisi kuwasilisha muonekano wa dunia kama sphere, lakini kiuhalisia, sio hivyo. Ndio maana ikaitwa ‘oblate sphere’ yaani tufe mlalo, upana wa equator si sawa na ule wa Greenwich au eneo lingine vinginevyo. Hili tufe mlalo Ndio sasa linakuwa ellipsoidal. Hii geoid Ndio haswa sura ya dunia na...
  8. M

    Swali: Ni kwanini urefu wa milima unapimwa kutoka usawa wa Bahari?

    Urefu wa mlima au mwinuko wowote katika sura ya dunia huwa inaanzia katika usawa wa bahari. Wadau kadhaa wamechangia hususani katika kipengele cha ‘datum’ ambayo ni alama kati ya low and high tide. Ili kuweza kupata msingi wa alama hii lazima ufanyike usomaji wa nyota na mwezi kwa muda wa miaka...
  9. M

    Msaada kwa mliokwisha jisajili ardhi university ya Dar es salaam

    nivyema ukawa maeneo ya chuo kwan mara nyingine huwa kuna usajili wa muda mfupi kuelekea UE
  10. M

    Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    Hiyo sio shida wao kusali misa siku ya tarehe 24/10/2015, bali iwe imefika saa 12.00 jioni. Litrujia ya kanisa katoliki siku uanza jioni ya saa kumi na mbili. Mpaka sasa yapo makanisa kadhaa wanasali jmosi saa 12.00 jioni baada ya masifu ya jioni. ANGALIZO KAMA HAUJUI UTARATIBU WA MADHEHEBU YA...
  11. M

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Mlikuwa wapi kufanya maamuzi hayo??? mmekuwa bendera fuata upepo akisema jambo mtu mnafuata bila kufikiri.WATANZANIA TUMEBALIKA TUPO TUNAO CHANGANUA MAMBO SIO BENDERA KAMA ALIVYO SEMA DR.SLAA.Alijua bendera kama ninyi mpoo
  12. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    kwa kumbukumbu tuu tume na polisi wanaendelea kudhihirisha wanavyotumika na dola. CCM malizeni mkutanoooooo
  13. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Je muda wa kampeni umebadilishwa siku hizi au kwakua ni ccm...Nakumbuka mwaka 2005 tulitishwa na polisi ati kisa kampeni zetu zilizidi dakika kumi yaani 18.10 Tume na polisi wapo kulinda maslahi ya chama dola. wao ndio wanaongoza kuvunja sheria na utaratibu bado wanataka watanzania tuwe...
  14. M

    Nina hitaji Computer

    Bei itategemea mali ipo kwenye hali gani
  15. M

    Nina hitaji Computer

    Nina hitaji computer ya dell inspiron 14z iwe kwenye hali nzuri.mawasiliano 0764555792
Back
Top Bottom