Recent content by Mlelajr

  1. Mlelajr

    Kwa hatua hii ya CIA kujiunga Instagram, naamini TISS ina cha kujifunza

    Kuna comment humu inasema "Nyeeeeeee aibuuuu nyeeeeeee"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Mlelajr

    Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

    Poleni sana wakuu, Tumbo kusumbua mtu ukiwa safarini ni mambo ya kawaida kibinadamu. Sababu hata mie pia nishatokewa na hali hiyo. Ila ukishikwa na dharura ya tumbo kuuma ukiwa safarini tiba yake kwa wakati huo ni; Nunua Konyagi ndogo kunywa nusu ukiweza, Ukishindwa changanya na maji madogo...
  3. Mlelajr

    Kwa hatua hii ya CIA kujiunga Instagram, naamini TISS ina cha kujifunza

    Yaani TISS wajifunze kwa sababu CIA wamefungua account Instagram..??
  4. Mlelajr

    Spika Ndugai amtoa bungeni Mbunge Suzan Kiwanga na kumtaka kutohudhuria vikao hadi bunge lijalo

    In the next year, the neighbor speaks and others listen
  5. Mlelajr

    Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Jibu kwanza maswali yake ndio tuendelee na mjadala, Nadhani nimeongea kwa kiswahili fasaha na umenielewa..
  6. Mlelajr

    Dkt. Azaveri Lwaitama: Kuna kikundi cha watu kinaendesha Serikali. Rais adhibitiwe!

    Mkuu Chagua namba yako hapo chini, upo namba ngapi hapo.. 1. Great Minds discuss ideas; 2. Average Minds discuss events; 3. Small Minds discuss people.
  7. Mlelajr

    Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Jibu maswali haya, acha kuruka ruka wewe..
  8. Mlelajr

    Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

    Amka haraka sana huko ulipo, kuna jamaa mmoja au zaidi ya mmoja wanakusaidia kumkuna..
  9. Mlelajr

    Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

    Sheikh hizo siku 4 mbona nyingi sana..!!
  10. Mlelajr

    Mpenzi wangu ni babu wa miaka 65 hanitoshelezi, nifanyaje?

    Hahaaaaaaa nimecheka kwa sauti yani, Eti vijana wanahaha kama mbwa mwitu..
  11. Mlelajr

    Wadada naomba mjue bao la kwanza tu ndo tamu mengine huwa tunajilazimisha kuwaridhisha nyie tu

    Una matatizo wewe, wewe ndio wale mnaotumiaga vumbi na vile vidonge vyenu, yaani kimoja tu chaliiiii umechoka mbayaaa, Nakuhurumia sana sababu haufaidi utamu wa tendo, Utamu wa tendo ni kumtayarisha mwanamke vizuri umkojoze kwanza kwa kumchezea halafu umkojoze kwa dushe si chini ya mara 3...
  12. Mlelajr

    Ukiwa chumbani na mpenzi wako, kitu gani unapenda akufanyie ambacho hakufanyiagi

    Habari Wana Jf.. Nimeleta Uzi huu ili uwe kama suluhisho kwa wanandoa na wapenzi ambao huwa hawawaambii wapenzi wao vile vitu ama vitendo wanavyopenda kufanyiwa kabla, katikati na baada ya tendo la ndoa. Tiririka usione aibu, akibahatika kupita hapa ataiona comment yako..
Back
Top Bottom