Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

Hha kuna siku niikata zangu tiket ya Mtwara to dsm gari ya saa nne asubuhi

Sasa bwan tangu asubuhi nahara tu nkajipa moyo itakata ila wapi saa tatu na nusu nikaona isiwe kesinikaenda stendi nikawaambiashida yangu

Wakachukua tiket wakanipa ya kesho yake wakasema kama hali haitatengamaa niwapigie simu kuwjulisha ili siti yang iuzwe

Hi ilikua pona yangu maana hadi jioi saa 12 nilikua nishalazwa hosptal

Niliharisha vibaya mnonilihara hadi damu kama napata hedhi kidume kizima aisee hadi nikaanza kutubu nikasema hvi ndo nakufa ivi bado kakijana kadoogo😁
 
Niliharisha vibaya mnonilihara hadi damu kama napata hedhi kidume kizima aisee hadi nikaanza kutubu nikasema hvi ndo nakufa ivi bado kakijana kadoogo[emoji16]
Mkuu hiyo ilikuwa amoeba[emoji28][emoji28] una hara ad damu alafu choon unapaona pazuri hutaman hata kutoka
 
Hha kuna siku niikata zangu tiket ya Mtwara to dsm gari ya saa nne asubuhi

Sasa bwan tangu asubuhi nahara tu nkajipa moyo itakata ila wapi saa tatu na nusu nikaona isiwe kesinikaenda stendi nikawaambiashida yangu

Wakachukua tiket wakanipa ya kesho yake wakasema kama hali haitatengamaa niwapigie simu kuwjulisha ili siti yang iuzwe

Hi ilikua pona yangu maana hadi jioi saa 12 nilikua nishalazwa hosptal

Niliharisha vibaya mnonilihara hadi damu kama napata hedhi kidume kizima aisee hadi nikaanza kutubu nikasema hvi ndo nakufa ivi bado kakijana kadoogo😁
hiyo taphody mkuu
 
[emoji38][emoji38]
Niliwahi kukamatwa na tumbo morogoro wakati nakuja dar. Sikuwa na namna zaidi ya kuomba nikaharishe tuu.

Cha kutia moyo ni kwamba nyakati kama hizo aibu huondoka kabisaaaa, yani either uchague kujinyea ama uombe msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumbo si mchezo! Mie nilikamatwa na tumbo safari ya Dar -Mby, nilipambana nalo ile kufika kona za Iyovu basi likala pancha ya mbele wakati abiria wamepagawa mie kimoyomoyo nikawa nashangilia najua hapo si chini ya dk.15 ambazo zilikuwa zinanitosha kushusha mzigo
Kama nakuona vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
nakumbuka natoka iringa nimempa lift mrembo kwenda dar,tukapata msosi ruaha mbuyuni,kufika kona koba za iyovi tumbo likaanza kuunguruma mvua nayo inanyesha,nilikatiza zile kona kama michael schumaker,lakini katikati nikazidiwa,jasho kibao kwenye kiti nimekaa kama naendesha baiskeli,nilipaki pembeni nikashuka mbiooo na maji yangu ya kilimanjaro kuingia kwenye nyasi,kumaliza nimerudi kwenye gari mbele kidogo likaanza tena,mie nduki hadi mikumi mjini,pale nakafanya yangu nikapumzika kidogo,nimeondoka tuu baada ya kuanza mbuga likalianzisha tena,nilitembea mwendo wa jet hata wangepiga tochi wasingeamini kama ni gari,nafika mikumi pale hotelini nakuta kuna askari kibao waziri kaja kuwatembelea,nilipaki gari miguuni kwa askari wakawa wananizuia,niliwachomoka mie mbio chooni,askari walishikia breki mlango wa chooni baada ya kusikia mabomu yalivyokuwa yanatoka mfululizo,nilivyotoka niliwakuta wanacheka huku wengine wakinipa pole.....ila wangenikama nadhani wangeyakoga.....yule mrembo sikumbuki kama tuliongea zaidi ya maneno matano hadi namshusha kimara..
 
Mim hapa Leo hii nipo bus new4c ya dar swanga kaka hapa najikaza Hatare nahis msosi wa aljazerra wa Leo changamoto
 
hiyo taphody mkuu
Aisee hata baada ya hali kutengamaa kesho yake nilipanda gari kimachalemachale aisee mungu mkubwa sana nilifika salama salimini

Na kesho yake nilikua na mechi na katoto kapyaa kesho yake asubuhi nakuta mambo yameharibika na kumwambia dogo tuahirishe mtanange naona hasara coz kesho yake nasafiri to Singida

nikajipa moyo saa tano mtoto huyuuu apa nilipata aibu san coz kila nkijikaza wakuu wanabisha hodi

Nikashuka kitandan nkavaa taulo nkaka kitandani kimyaaa mara spidi chooni aisee uzur ilikua sef lakn zile mbwatambwatambwata demu alizisikia alicheka kweli

Tukabaki tunapiga storiA maonesho ya sabasaba😁
 
Sijawahi ila mwaka 2014 nilikua nasafiri Dar to Tabora, kuna mzee tumbo lilimuuma na bahati mbaya akiwa anaenda kumuomba dereva asimamishe gari haja ikatoka.

Ikabidi gari isimame na yule mzee ashuke abadili nguo, kuna dada alikua ni abiria akajitolea akasafisha ule uchafu aliochafua kwenye gari ha ha ha wanaume wa mule walimsifia yule dada balaa tuliobaki ambao tulikua busy na simu tulipata vichambo vilaini.
Dada huyo kajaliwa
 
Poleni sana wakuu, Tumbo kusumbua mtu ukiwa safarini ni mambo ya kawaida kibinadamu. Sababu hata mie pia nishatokewa na hali hiyo. Ila ukishikwa na dharura ya tumbo kuuma ukiwa safarini tiba yake kwa wakati huo ni;

Nunua Konyagi ndogo kunywa nusu ukiweza,

Ukishindwa changanya na maji madogo then kunywa konyagi yako na baada ya muda tumbo lote litaacha kuuma na kusumbua kabisa hadi unafika safari yako.

Najua wapo watu wengi ambao hawatumii alcohol kama konyagi lakini inapotokea dharura kama hiyo haina jinsi kwa sababu unaitumia kwa dhumuni la kujisaidia hali yako na wala sio dhambi kwenye hali ya dharura.
 
Aisee hata baada ya hali kutengamaa kesho yake nilipanda gari kimachalemachale aisee mungu mkubwa sana nilifika salama salimini
Na kesho yake nilikua na mechi na katoto kapyaa kesho yake asubuhi nakuta mambo yameharibika na kumwambia dogo tuahirishe mtanange naona hasara coz kesho yake nasafiri to Singida nikajipa moyo saa tano mtoto huyuuu apa nilipata aibu san coz kila nkijikaza wakuu wanabisha hodi
Nikashuka kitandan nkavaa taulo nkaka kitandani kimyaaa mara spidi chooni aisee uzur ilikua sef lakn zile mbwatambwatambwata demu alizisikia alicheka kweli
Tukabaki tunapiga storiA maonesho ya sabasaba😁
kwa hiyo ulishindwa kukatafuna?
 
Usipende kula vyakula vya mchuzi njiani kama wali au ugali nyama na chai za maziwa.
Enzi za Safina, Upendo, Matema Beach, Comfort unavalishwa pampasi unawekwa kiti cha nyuma ujishughurikie kwa raha zako ili basi lifike Mbeya saa tisa.
Mkuu umenivunja mbavu .
 
Safari ya Dar-mbeya, kila nikipita Ilula kuna nyumba moja ipo pembeni ya barabara kuna jiwe kubwaa kwa juu kidogo, huwa natamani bus lisimame nitoe salute, yalinikuta makubwa sana mwaka 2008, anyway nawashukuru wenye nyumba wakarim maana nilibanwa tumbo hilo kwenye bus tulivyofika pale niliomba dereva asimame, nilivyokaribia chooni nilikuwa natembea kama nyani,

Dah pole sana mkuu, ilikuwa unatembea kama dume la nyani? 😀 😀 alafu unapokaribia choo hali huwa inazidi kuwa mbaya yani, ile ukimaliza kuvua na boxer mzigo tayari ushatoka, ukizubaa kwenye kuvua nguo mzigo unaukuta suruali, hatari sana.
 
Wakuu kwema?
Ebana nilikuaga naskia tu watu wakilalamika kuchafukwa na matumbo wawapo safarini.
Sasa me yamenikuta last week nikiwa safarini toka mkoa fulani wa Kanda ya Ziwa kuja Dar, yani ilinibidi nishukie Singida ili kuepuka ile aibu ya kuwasumbua makondakta kwenda kuchimba dawa kila dakika.
Sitasahau ile siku asee niliharisha mpaka nikahisi utumbo nao umetoka , shukrani za pekee ziwaendee wale traffic police wa pale stand ya mkoa wa Singida kwa msaada walionipa na pia madaktari wa hospital ya mkoa wa Singida kwa kunipa huduma stahiki kwa wakati.
Kuna aliewahi kupata mkasa kama huu?
Dawa ya tumbo na kuhara ukiwa safarin ni Pepsi Baridi pekee
 
nakumbuka natoka iringa nimempa lift mrembo kwenda dar,tukapata msosi ruaha mbuyuni,kufika kona koba za iyovi tumbo likaanza kuunguruma mvua nayo inanyesha,nilikatiza zile kona kama michael schumaker,lakini katikati nikazidiwa,jasho kibao kwenye kiti nimekaa kama naendesha baiskeli,nilipaki pembeni nikashuka mbiooo na maji yangu ya kilimanjaro kuingia kwenye nyasi,kumaliza nimerudi kwenye gari mbele kidogo likaanza tena,mie nduki hadi mikumi mjini,pale nakafanya yangu nikapumzika kidogo,nimeondoka tuu baada ya kuanza mbuga likalianzisha tena,nilitembea mwendo wa jet hata wangepiga tochi wasingeamini kama ni gari,nafika mikumi pale hotelini nakuta kuna askari kibao waziri kaja kuwatembelea,nilipaki gari miguuni kwa askari wakawa wananizuia,niliwachomoka mie mbio chooni,askari walishikia breki mlango wa chooni baada ya kusikia mabomu yalivyokuwa yanatoka mfululizo,nilivyotoka niliwakuta wanacheka huku wengine wakinipa pole.....ila wangenikama nadhani wangeyakoga.....yule mrembo sikumbuki kama tuliongea zaidi ya maneno matano hadi namshusha kimara..
Ha ha ha ha ha daah nimecheka kinoma
 
Nakumbuka nilisha harisha nikiwa kwenye school bus darasa la 5, nikikumbuka kuna cha kujifunza...
-kama una safari tuseme week hii hakikisha siku moja kabla ya safari usile chakula kingi,
Ulishindwa kuchangia uzi wa jambo la aibu kwenye basi ukidai ni wa Masaki.
 
Back
Top Bottom