Recent content by mlaba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Unanafasi kubwa sana yakubadilisha jamii yakiafrica kwa maana unafollower weng sana kwahiyo ukitumia pen na positive thinking itasaidia sana kuisaidia africa so tusilaumu na tusitoe matusi kwa Africa ila tuelimishen
  2. M

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Hahahaha mm nazan tuko nyuma sana kwa upande wa ufahamu wa mambo ndo mana hatuna uelewa kama hao unaowasifia ila hii sio upumbavu ila n ukosefu wamaarifa.kutatua ili swala n kwa njia kuuu moja kuwa na culture ya kusoma itasaidia kututoa kwenye ujinga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Tafuta mchepuko
  4. M

    JamiiForums Tanzania How to Handle Your Monster-in-Law

    Mh kama iyo saikologia ungekua na uhalisia na maisha au malez yakitanzania sawa lakn malez yetu n tofaut
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    Nenda katahiriwE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 10 kwa ubora wa uchumi Afrika

    Kama cc n wakumi bas Africa hali n .mbaya sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania VAT kwenye huduma za mabenki, serikali imeridhia mzigo huo tuubebe wananchi?

    Bado kwenye kupNga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka usafiri wa majini kutoka Posta hadi Mbagala

    Mm nahic jamaaa ana dar iko kichwan ambayo bado haijafika kwenye ulimwengu halis
  9. M

    JamiiForums Tanzania Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Pia jifunze kuwa na kifua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Piga mswak usiku. Mpka asbh kila kitu kitakua poa sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Nyumba yakupangisha inafaida kam ukiweka mfumo wa master room ambapo kodi huwa kubwa na Maji yakiwepo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Biashara ya nyumba inafaida ila lkn kwa mda mrefu,pia iyo faida inategmea na eneo ambayo iyo nyumba IPO na ubora wa iyo nyumba,kama IPO karibu na stand barabara kuu maeneo hayo kodi n kubwa tofauti na zilizo mbali au kama miundo mbinu n mizuri pia nyumba itakua na thaman,pia huduma zilizopo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Ukaguzi wa vyeti ufike majeshi yote haraka

    Ww
  14. M

    JamiiForums Tanzania Obama apata kigugumizi madai ya kuvuruga uchaguzi yaliyotolewa na Trumph

    Haahhhqh tena muandish nahic wangemburuza mpaka akifika kituon hawez kuongea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

    Kas ya maendeo usimamiaj maendeleo itapungua sana
Back
Top Bottom