Recent content by MLA PANYA SWANGA

  1. MLA PANYA SWANGA

    Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

    Keshaliwa 3 na mpira haujaisha. Hii tunavuka.
  2. MLA PANYA SWANGA

    MTI UNAOUA NDEGE NAUPATAJE.

    Kuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali. Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali. Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa mti huo lazima afe na anaanguka chini ya mti husika. Miti hii ilikuwepo kwa wingi lakini kwa sasa...
  3. MLA PANYA SWANGA

    Nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D)

    Nitakutibu kwa mti na dawa ya mlundalunda kwa siku 7 usipopona usitoe pesa.
  4. MLA PANYA SWANGA

    Bawasiri inanitesa

    Hiyo ni sugu tiba yake ni kupiga bomba 2mils kupitia haja kubwa dawa isiingie zaidi ya sm 10 kuna vifaa maalum. Lakini kuna mixture ya dawa tatu zinazotumika. Nitafute.
  5. MLA PANYA SWANGA

    Kifo kinaonekana kabla hakijatokea, hakuna kifo cha ghafla

    Mimi nimeongea sana na mpendwa wangu saa 4 usiku muda wa kutosha akiwa hospital but kaniambia subiri kidogo ntakutafuta baadaye but saa tano akafariki na taarifa nikapata asubuhi. Unanimumbusha maumivu.
  6. MLA PANYA SWANGA

    Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

    Kama hawaposti muwe mnajupost wenyewe maana siyo lazima.
  7. MLA PANYA SWANGA

    Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

    Kinumbo ,nadhani kiuhalisia mimi ni muumini wa panya ila naomba uheshimu thread yangu. Nimepost hapa kwa ajili ya ma expert mainjinia competent wanaojua habari za jometri haswaa siyo wewe uliyesoma memkwa pengine ukafeli. Kupitia thread hii wengine wanajifunza na kuona kuwa jambo hili...
  8. MLA PANYA SWANGA

    Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    Tendo la mapenzi ni process ndefu ambayo inahisisha ubongo na fahamu zote kwa asilimia 90. Hata kama wewe ni mpenzi wa kuku ikitokea ukaona kuku anakula kinyesi halafu muda mfupi kuku huyo akakamatwa kuchinjwa hutaweza kula nyama hiyo kwa kuwa ubongo utakupa tafsiri hasi. Shida yako ni ukosefu...
  9. MLA PANYA SWANGA

    Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

    Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
  10. MLA PANYA SWANGA

    Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

    Kama unaoa na huna uwezo wa kupokea wageni ni heri usioe. Kuingia kwenye ndoa ni ukubwa huwezi kuendelea kuishi kama bachelor.
  11. MLA PANYA SWANGA

    Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Nimesoma ila sijaelewa . Zaidi nahisi uchawa umekuzidi.
Back
Top Bottom