27,000,000÷750 = 36,000
36,000 per Square Meter hapo umeua kupitiliza kwa maeneo hayo na nature ya kiwanja hicho! Hapo hakikupaswa kuzidi 25,000 PSM which is roughly 18,000,000
Hahahahaaa.... kwa hiyo nikinunua hicho cha 45m natakiwa nimpe dalali milion 4.5 ambayo ndio 10% yake?? Viwanja vyote vinne dalali unavuta milion 15!!!
"Ole wao wapendao kuvuna pasipo kupanda"
Sio wote watafungua hiyo video, ingawa nimeiona umejitahidi kuelezea. Nakushari chukua screenshot kwa kila kipengele muhimu halafu ui upload hapa na maelezo mafupi for better marketing
Hili gazeti siku hizi kila toleo lake utaona ukurasa wa kwanza habari kuu ni migogoro KKKT tena hata iwe ni ishu ya kawaida kama zinazoendelea sehemu nyingine but utakuta wameibold. Mimi nashindwa kuelewa lengo lao ni nini haswa.
Wadau mnaofahamu hebu tuambieni sababu hili linaendeshwa kwa kodi...
Hii ishu ni kweli. Ni kwamba Mungu amewaumba viumbe kila kimoja na namna yake ya kujilinda. Kuku hususan usiku anapokuwa amelala. hu kusanya aina flan ya sumu kwenye domo lake (donoleo) kinapotokea kitu cha kutishia usalama wake kama nyoka akimng'ata sumu ile hutoka na kumdhuru mnyama yule. Na...
Hivi unafahamu maana ya MOU?? Na unajua impact ya serikali kuvunja mou as u wish? una uhakika kwamba ukivunjwa ndo waislam mtapata manufaa kielimu kiafya etc? Tell me how.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.