Naomba msaada kwenye Oracle database installation nimekwama...

Naomba msaada kwenye Oracle database installation nimekwama...

banzy

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
22
Reaction score
154
Habari zenu wakuu!!
unafanya installation ya oracle 11g nimeshamaliza process za configuration na inaanza kucopy files ikifika katikati inaleta error ya ''Invalid stored block length'' cfaham hii error inatokana na nn?naomba msaada kwa wale waliowahi kukutana na hili tatizo
 
Back
Top Bottom